Afghanistan kuingia gizani muda wowote

Serikali itàkayo waamini Talibans itakuwa na yenyewe imekosa weledi!
Isingekuwa na tofauti ya kumuamini "Joseph Konyi" ingetokea kuipindua serikali ya Uganda!
 
China na urusi wako wapi kuwasaidia
Kama Afghanistan inazo resources za kung'ang'aniwa na mabeberu then China na Urusi zitawasaidia but kama hazina hizo rasilimali (hasa gas ) then wao watakua walifanya nao biashara ya silaha na sasa hawana maana tena; hi ndio tabia halisi ya mabeberu yaani
 
So what ?
JamiiForums-368542019.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wamarekani washadondoka mpaka sasa.naona wanafanya propaganda na hujuma dhidi ya taleban
 
Hao akina Iran, Russia, China na Quatar waliokuwa wakiwafadhili wakati wa vita vyao wako wapi sasa hivi hadi wanataka kuingia gizani.
 
Walidhani bado wapo mapangoni wanatumia tochi,wajinga sana hao majamaa,nchi haina dawa,serikali haina pesa,ISIS nao wanashambulia,umeme ndio huo unakatwa muda wowote

Badala ya kushughulika na mambo ya msingi wao wanahangaika na kufuga ndevu tu
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom