Wadau mwenye utalamu na mambo haya anaweza kunipa wazo kutokana na mwenendo wa maisha ya Bongo wanavyouona.Kwa mfano mtu unataka kuwekeza kwenye mradi unaoweza kujenga nyumba ambazo ni nzuri kwa watu wenye kipato cha kati na ukaziuza kwa mikopo ya miaka 10 je ni zipi risk zake na hasa nikwekeza kwenye mradi wa nyumba kama 1000.
Je kwa makisio na ktokana na bei za vitu kwa sasa nyumba ya kawaida lakini comfortable inaweza kugharimu kiasi gani kuijenga na hao watu wenye vipato vya kati ni nyumba aina gani wanaweza kuzimudu kwa muda huo wa miaka 10?
Shukrani