Jovanny hm
Member
- Jun 5, 2019
- 31
- 25
Hi there!,
Niko hapa kuomba msaada wa platforms za affiliate marketing ambazo zinaweza zikatumiwa na waTanzania nikimaanisha:
1. Swala la kujiunga lisiwe changamoto kubwa kwa waTanzania. (Maana kunazingine zinaLimit watu kutoka mataifa fulani kutojiunga)
2. Swala la malipo lisiwe changamoto kubwa kwa waTanzania. (Nikimaanisha malipo yawe yanalipwa kwa payment options zinazokubalika Tanzania au zisizo na usumbufu kama vile Wire Transfer, Western Union, Bitcoin, Payoneer n.k)
3. Pia swala la Website lisiwe changamoto (Nikimaanisha hata kama huna Website ila una Social Media pages na Groups uweze kujiunga).
Iko hivi:
-Nina Telegram Channel (maudhui ni Movies) yenye subscribers 9,554 (9k+). Asilimia 55 ya hao Subscribers ni kutoka Malaysia, 30% nikutoka Indonesia, hizo asilimia zilizobaki ni kutoka Bongo na sehemu zingine duniani.
-Nina Facebook Group lenye Members 3,000(wote waTz)
-Nina Facebook page yenye Subscribers 4,000(Wote WaTz)
Nimefikiria nimeona jamii hiyo hapo juu naweza kuitumia kuniingizia kipato kwasababu nawapa huduma bure so sio mbaya nawao nikiwatumia, hasahasa hao wa Telegram.
Nipende kuomba msaada kwa waTz wanaofanya Affiliate marketing. Huwa mnatumia Sites gani ambazo hazina changamoto nyingi kwa waTanzania kujiunga?....