AfDB Seeks Investors for $7.6-Billion Tanzanian Railway Line

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
The African Development Bank will hold an investors’ roadshow to attract as much as $7.6 billion in financing for a railway line linking Tanzania’s port in Dar es Salaam with neighboring landlocked countries.

The Abidjan, Ivory Coast-based lender is teaming up with the World Economic Forum to help find investors to bankroll the 2,200-kilometer (1,370-mile) line, according to Gabriel Negatu, AfDB’s regional director for East Africa.

“We are convening a meeting of would-be investors to see how best to finance the line,” Negatu said in a Sept. 23 interview in Kenya’s capital, Nairobi. “Everyone who can come up with financing, we will recommend them to the Tanzania government.”

The planned standard gauge line is “credit positive” and once operational may cement Tanzania’s position as a logistics hub for Eastern Africa, Moody’s Investors Service said Sept. 15. While President John Magufuli’s government says it will become a major trade artery between Tanzania and its neighbors, research firms such as NKC African Economics say there’s uncertainty about whether regional demand will justify both Kenya and Tanzania operating similar rail networks.

Rwanda, Burundi
The Tanzania line will run from Dar es Salaam port to Rwanda’s capital, Kigali. Two other lines will branch off to Musongati in Burundi and to Mwanza port on the shores of Lake Victoria to service Ugandan shippers. The line to Kigali is expected to ultimately connect to the eastern Democratic Republic of Congo.

Export-Import Bank China may lend Tanzania $7.6 billion to finance the railway, the government said in July. Chinese investors will be among those invited to the AfDB financing roadshow, Negatu said.

“If they finance it completely, no one will be more happier than us,” he said. “If China comes up with that money, I will kiss their hands.”
AfDB wants to co-finance the project, with a strategy to “catalyze financing” and encourage other investors to come on board, he said.

Tanzania’s economy, East Africa’s largest after Kenya, is expected to grow 7.2 percent this year, partly due to investment in roads and power plants, along with upgrades to ports and airports, according to the International Monetary Fund. The country is the continent’s fifth-biggest gold producer and has estimated reserves of 58 trillion cubic feet of natural gas being developed for export by companies including Statoil ASA and BG Group Plc.

‘Next Century’
AfDB holds no “short-term financing view” on the railway line, although most investors would prefer debt repayment periods of as long as 15 years, according to Negatu. The line “can be amortized over 100 years,” he said. “It will be profitable -- this is a project for the next century.”

Kenya is building a similar railway that seeks to connect landlocked countries to Mombasa, its main port. Given that such economies “are not particularly large,” it’s “questionable whether the region requires two standard-gauge railway networks connected to two of sub-Saharan Africa’s largest ports,” Jacques Nel, an analyst at Paarl, South Africa-based NKC African Economics, said in an e-mailed response to questions.

The first phase of the Kenyan link, measuring 609 kilometers and costing $3.2 billion, is scheduled for completion by June 2017. Construction of a second 120-kilometer leg will begin by the end of this year, according to the government.

Tanzania is also planning a liquefied natural gas plant that could cost as much as $30 billion and a $10 billion port at Bagamoyo. It has also agreed to host a $3.6-billion pipeline to transport Ugandan crude to its Indian Ocean port at Tanga.

Source: BloomBerg
 
Benki ya Exim ya China imekubali kutoa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani Bilioni 7.6 sawa na zaidi ya Shilingi Trilioni 16 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa mradi mkubwa wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa unaotarajiwa kuanza katika mwaka huu wa fedha.

Rais wa Benki ya Exim ya China Bw. Liu Liang amemueleza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma kuwa pamoja na kutoa fedha hizo zitakazofanikisha ujenzi wa kilometa 2,190 za reli ya kati benki hiyo itashirikiana na Tanzania katika kubadilishana uzoefu na utaalamu katika ujenzi na uendeshaji wa reli hiyo.

Pamoja na kukubali kutoa fedha hizo, Rais huyo wa Benki ya Exim ya China amempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa dhamira ya dhati ya kuiletea Tanzania maendeleo ikiwemo kuharakisha ujenzi wa reli ya kati na ameahidi kuwa benki yake itatoa ushirikiano wa karibu katika kufanikisha mradi huo na miradi mingine ya maendeleo.

Kwa upande wake Rais Magufuli amemshukuru Rais wa Benki ya Exim ya China Bw. Liu Liang kwa kukubali kutoa fedha hizo na amemuhakikishia kuwa Tanzania imedhamiria kutekeleza mradi huo ambao tayari ujenzi wake umepangwa kuanza.

katika mwaka huu wa fedha kwa kutumia fedha za ndani kiasi cha shilingi Trilioni 1 zilizotengwa katika bajeti.

Rais Magufuli amebainisha kuwa kutekelezwa kwa mradi huo kutasaidia kuinua uchumi wa Tanzania na nchi jirani zisizopakana na bahari zikiwemo Uganda,Rwanda, Burundi, na Congo.

Mradi wa ujenzi wa reli ya kati utahusisha ujenzi wa reli kwa kiwango cha kisasa kutoka Dar es salaam-Tabora- Isaka-Mwanza, Tabora-Mpanda-Kalemela, Tabora-Uvinza- Kigoma na Isaka-Keza- Msongati.

Mazungumzo kati ya Rais Magufuli na Rais wa benki ya Exim ya China yamehudhuriwa na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing, Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa Mnyaa, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba.
 
Duh mbona mnatuchanganya Mtukufu alisema fedha zipo tayari kwaajili ya kuanza ujenzi sasa hizi sarakasi sijui tumwamini nani ?.Itabidi tumwamini Mtukufu kwasababu yeye hajaribiwi.
 
Duh mbona mnatuchanganya Mtukufu alisema fedha zipo tayari kwaajili ya kuanza ujenzi sasa hizi sarakasi sijui tumwamini nani ? Itabidi tumwamini Mtukufu kwasababu yeye hajaribiwi.
Maigizo mkuu inashangaza
 
Duh mbona mnatuchanganya Mtukufu alisema fedha zipo tayari kwaajili ya kuanza ujenzi sasa hizi sarakasi sijui tumwamini nani ?.Itabidi tumwamini Mtukufu kwasababu yeye hajaribiwi.
Mkuu hapo Arusha mbona mnakuwa hamuelewi elewi haya maji vimambo, pesa ipo ambayo makubaliano yamefanyika sasa ni kipi hapo huelewi? Ule ujanja ujanja wenu wa kutoka kwa manyang'au tumeushitukia.
 
Si mlisema mnajenga kwa hela zenu za ndani ni kipi kimewasibu? Hahhahahah.
Wacha majungu, pesa za ndani hadi hivi sasa zinatumika. JPM alisema sisi tutaanza kujenga reli yetu, wakitukuta njiani tutaendelea hatubembelezi. Tupo pazuri hata kama tunakopa uwezo wa kulipa tunao. Hizo pesa tunalipa, where is the problem?

Kufanya ni kuchagua tafuta njia sahihi. Haiwezekani nchi zote Afrika na ulimwenguni kuona anachofanya JPM ni tishio kwa maslahi ya wazungu. Hilo linatokana na ukweli kwamba wazungu wamejuwa wanawadharau Waafrika kwa muda mrefu wakati mafanikio yao yametokana na Waafrika kwa njia ya cheap labour/Utumwa ambao kuna watu wanataka kutupeleka huko.
 
Back
Top Bottom