AfDB Approves USD 251 Million Funding for Roads in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AfDB Approves USD 251 Million Funding for Roads in Tanzania

Discussion in 'International Forum' started by eliakeem, Apr 11, 2012.

 1. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,903
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe kweli amnazo, sasa unashangilia nini?

  Tambua yafuatayo;


  • 1.hizo ela kutoka African Dev Bank ni 'LOAN' na si 'GRANT'. Kwa hiyo huo mkopo lazima ulipwe ndani ya specific period.
  • 2. Inakupasa utambue kwamba serikali yako legelege, ya wauza madawa ya kulevya na ya walala misibani, HAINA fedha from its 'internal sources' ya kuweza ku-finance its 'major projects' ndo mana inakimbilia kukopa.
  • 3. Inakupasa utambue mikopo mikubwa kama hiyo ina long term adverse effects kwa maendeleo ya nchi zinazoendelea. Mfano mdogo tu, mtu kama wewe unapokopa against your salary, just measure ni jinsi gani marejesho yanavyosimamisha mambo yako mengi.
  • 4. Inakupasa ujifunze ni nani amefanya upembuzi yakinifu wa huo mradi. Kwani mwisho wa siku hayo mamikopo yanakuwa mizigo kwetu.
  • 5. Inakupasa ufunguke akili na ku demand serikali yako iweze kuendesha miradi mikubwa pasipo kukopa kopa...
   
 3. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Ufafanuzi mzuri, mikopo inatumaliza
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Inatupasa kupima, tokea tuana kukopa huko AfDB au World Bank tumepiga hatua gani?
  Watz ni wapu.uzi sana, tunaacha manyang'au yanachukua dhahabu, almasi, rubi, samaki, wanyamapori and so many natural resources, then sisi tunakimbilia kwenye hizo international banks zao kuwakopa tena kwa riba kubwa, afu tukipata hiyo mikopo tunajiona wajanja.
  Shame on us wa tz...
   
 5. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,903
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
  Inawezekana uko sahihi.....
  Lakini kimsingi kabisa na kwa dhati... kukopa si kosa hata kidogo.... ila tatizo ni matumizi ya huo mkopo.... kama umekopa na ukatumia kulingana kabisa na mipango yako.... hapo kwangu hilo halina tatizo. Hivyo basi, kama pesa hiyo ya mkopo wa barabara itatumika kwa kujenga barabara kikamilifu na kwa viwango.... basi hata kulipa hilo deni haitakuwa mzigo....

  Lingine ni kwamba usitumie kauli ya matusi kama ulivyosema hamnazo..... si uungwana.

   
 6. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu Eliakeem.
  Hayo mawazo uliyonayo ndo hata rais wako anafikilia hivyo hivyo, ndo mana kucha kutwa kuzurura kuomba omba.
  Inakupasa utambue kuwa, hakuna NCHI iliyoendelea kwa kukopa kopa 'LOAN' au kuomba omba misaada 'GRANT'.
  Pili inakupasa ikuingie akilini kuwa, institutions like ADB, WB, IMF IBRD, ziko kwa ajili ya kuakikisha mnabakia hapo mlipo, hakuna hatua mtakayopiga.
  Tatu, before usajasema 'BRAVO TANZANIA' inakupasa ujue ni kina nani walifanya 'feasibility study' ya hii project mpaka pesa ikatoka.
  Nne, inakupasa utambue kuwa ktk this imperialism world there is no such a thing called FREE.
  Tano, you have to wake up brother, tambua kuwa hizi rasilimali zetu za ndani ndo zitatutoa na sio hayo mamikopo...
   
 7. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,903
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
  Mimi bado naamini kukopa si tatizo... tatizo ni matumizi ya hizo pesa za mkopo..... pengine pia inabidi twende mbali zaidi kuona masharti ya huo mkopo yakoje...... labda sasa hilo ndilo tatizo..... kama mkopo una riba kubwa ambayo inafanya mkopo ku re-schedule.... yaani riba inaizidi principle amount baada ya muda fulani.... basi hiyo ni hatari.... naweza sema huo ni mkopo mbaya....
  kwa habari ya Washington consensus..... sina ushahidi kuwa wana mikopo mibaya....... kama una mifano hai na ushahidi.... tafadhri tupatie ili iwe faida ya wanaJF na watoa maamuzi na watunga sera wengine.....

   
Loading...