AFCON BEACH SOCCER: Tanzania imeyaaga rasmi mashindano ya AFCON yanayoendelea Nchini Misri

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
823
Habari members wenzangu!!!
Matokeo ya mechi zilizochezwa leo 10/12/2018 kama ifuatavyo.
Morocco 5-4 Ivory Coast
Egypt 4-2 Madagascar
Nigeria 4-2 TANZANIA

Baada ya kupoteza mechi zote tatu katika kundi lake,ikiwa imefungwa 5-2 Libya,kisha 12-2 na Senegal na Leo 4-2 na Nigeria tarehe 10/12/2018,TANZANIA imeyaaga rasmi mashindano hayo yanayoendelea katika mji wa Sharm el Sheikh nchini Misri.

Chanzo Azam TV burudani kwa wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom