Afariki Wakati Akimbaka Bibi wa Miaka 77

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Mwanaume mmoja wa nchini Marekani mwenye rekodi ya kufikishwa mahakamani kwa makosa ya ubakaji, ameiaga dunia wakati akimbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 77.
Isabel Chavelo Gutierrez mwenye umri wa miaka 53 wa Tivoli, Texas nchini Marekani alisafiri umbali wa kilomita tatu kwa kutumia baiskeli na kwenda kumvamia nyumbani kwake na kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 77 baada ya kumtishia kumuua kwa kutumia kisu.

Taarifa ya polisi ilisema kuwa mbakaji huyo wakati akiendelea kumuingilia kinguvu bibi huyo alisimama kwa muda na kusema hajisikiii vizuri na aliamua kupumzika kwa muda.

Baada ya dakika chache alisimama tena na kuendelea kumbaka bibi huyo na ghafla alidondoka chini na kuiga dunia.

Taarifa ya polisi ilisema kuwa inaaminika mbakaji huyo alifariki dunia kutokana na shambulio la moyo baada ya kuendesha baiskeli umbali wa kilomita tatu kwenda kumbaka bibi huyo.

Baada ya kuona mbakaji wake amedondoka chini amefariki dunia, bibi huyo alitoka nje na kukimbilia nyumbani kwa binti ambaye alipopewa taarifa hizo aliwaita polisi.

Mwili wa Gutierrez ulichukuliwa na kupelekwa hospitali kwa uchunguzi zaidi.

NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.


 
bora amefariki maana huyu bwana alikuwa na dhamira mbaya sana, yani alijisikia hovyo lakini hakukubali akarudia tena kutimiza lengo alilokusudia.
 
Dah huyo bibi naye kasubiri hadi jamaa afe ndio akatoa taarifa! Je asingekufa? Labda tungepata habari upande wa pili. Pengine walikubaliana..vibibi vya siku hizi haviaminiki!
 
Shetani ana formular moja nzuri sana, ukimtumikia kwa kuwatendea binadamu wenzako maovu, hata kwa kujificha. Siku moja lazima akuingize kwenye 18 zake kisha anakupotezea unabaki unaaibika aidha ukiwa umekufa ama ukiwa hai.

Tujifunze kutenda mema kila siku duniani ili tusiukose uzima wa milele!
 
kakutana na kitu tight na mnato vibaya sana mpaka kakata roho..hahaaa ..kweli huwezi kushindana na sehemu iliyokuleta duniani
 
Dah huyo bibi naye kasubiri hadi jamaa afe ndio akatoa taarifa! Je asingekufa? Labda tungepata habari upande wa pili. Pengine walikubaliana..vibibi vya siku hizi haviaminiki!
Hata mimi naanza kuhisi hivyo!
 
asee labda alikuta kitu mnato mpaka mwenyewe akablow labda alizoea milupo ya vichochoroni iliyokamata ganja za kuosha
mtu waweza khata kupiga makofi humohumo teheteheteheeeeee
 
Back
Top Bottom