mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,142
- 5,634
Hatimaye raia wa Marekani Bi. Edwarda O' Bara (59) aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari uliosababisha azimie kwa kipindi cha miaka 42 amefariki dunia. Taarifa zinaonesha kuwa alipoteza fahamu akiwa mwanafunzi wa Sekondari mwaka 1970.
Dada wa marehemu, Bi. Collen O' Bara, aliliambia gazeti la Miami New Times, la mjini kuwa ndugu yake alipoteza fahamu mwaka 1970 akiwa na miaka 16 na tangu hapo hakuweza kufahamu lolote hadi 29/11/2012 alipofariki dunia.