Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Kinyozi mmoja maarufu eneo la Mwananyamala akiitwa Akida amefariki dunia baada ya kusemekana kulamba kiroba huku akiwa kwenye dozi ya Flagyl
Yasemekana mchana wake alianza kulalamika kuumwa tumbo na inasadikika washakji kumshauri kunywa flagil hata hivyo jioni yake alitundika kiroba na akakutwa asubuhi amefikwa na umauti.
KWA KUWA KASI YA KUNYWA VIROBA INAONGEZEKA HII NI TAHADHARI KWA WENGINE WENGI.