Afariki Akijichua Wakati Akiangalia Sinema ya Ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afariki Akijichua Wakati Akiangalia Sinema ya Ngono

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TANMO, Sep 19, 2009.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Jamaa mmoja wa nchini Uturuki amefariki kwenye ukumbi wa sinema za ngono kutokana na shambulio la moyo wakati akijipigisha punyeto. Polisi wa Uturuki waliitwa kwenye ukumbi wa sinema unaoitwa Fitas Cinemas katika mji wa Sakarya ambao siku zote huonyesha sinema za ngono baada ya jamaa mmoja kufariki akijichua mwenyewe wakati akiangalia sinema hizo.

  Tukio hilo lilitokea jana katika kitongoji cha Adapazari katika mji wa Sakarya uliopo kaskazini magharibi mwa Uturuki na polisi walimtaja jamaa aliyefariki akiangalia ngono kuwa ni Hikmet Y. ambaye ana umri wa miaka 51.

  Taarifa zilisema kuwa wakati taa zilipowashwa kwenye ukumbi huo wa sinema baada ya sinema mbili za ngono kuisha, watu waliokaa siti za jirani na mwanaume huyo walishtushwa kumuona akiwa ametoa nyeti zake nje huku akiwa haonyeshi dalili yoyote ya uhai.

  Wamiliki wa ukumbi huo waliamua kuita polisi na ambulansi na walipofika walisema kuwa Hikmet alikuwa ameishafariki.

  Taarifa ya uchunguzi wa maiti yake iliyotolewa baadae ilisema kuwa Hikmet alifariki kutokana na shambulio la moyo wakati akiangalia sinema hizo.

  Jamaa mmoja wa nchini Uturuki amefariki kwenye ukumbi wa sinema za ngono kutokana na shambulio la moyo wakati akijipigisha punyeto.

  Polisi wa Uturuki waliitwa kwenye ukumbi wa sinema unaoitwa Fitas Cinemas katika mji wa Sakarya ambao siku zote huonyesha sinema za ngono baada ya jamaa mmoja kufariki akijichua mwenyewe wakati akiangalia sinema hizo.

 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 4. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zee la miaka yote hiyo halikuwa na wife? Na kama alikuwa hana mbona wanawake wapo wengi?
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi mpwa Masa umeona madhara yake hayo?
  Maana umetangaza juzi juzi hapa unarudi kwenye penzi binafsi angalia mzee tusije tukakuzika mapema.
   
 6. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja wa nchini Uturuki amefariki kwenye ukumbi wa sinema za ngono kutokana na shambulio la moyo wakati akijipigisha punyeto. Polisi wa Uturuki waliitwa kwenye ukumbi wa sinema unaoitwa Fitas Cinemas katika mji wa Sakarya ambao siku zote huonyesha sinema za ngono baada ya jamaa mmoja kufariki akijichua mwenyewe wakati akiangalia sinema hizo.

  Tukio hilo lilitokea jana katika kitongoji cha Adapazari katika mji wa Sakarya uliopo kaskazini magharibi mwa Uturuki na polisi walimtaja jamaa aliyefariki akiangalia ngono kuwa ni Hikmet Y. ambaye ana umri wa miaka 51.

  Taarifa zilisema kuwa wakati taa zilipowashwa kwenye ukumbi huo wa sinema baada ya sinema mbili za ngono kuisha, watu waliokaa siti za jirani na mwanaume huyo walishtushwa kumuona akiwa ametoa nyeti zake nje huku akiwa haonyeshi dalili yoyote ya uhai.

  Wamiliki wa ukumbi huo waliamua kuita polisi na ambulansi na walipofika walisema kuwa Hikmet alikuwa ameishafariki.

  Taarifa ya uchunguzi wa maiti yake iliyotolewa baadae ilisema kuwa Hikmet alifariki kutokana na shambulio la moyo wakati akiangalia sinema hizo.

  Jamaa mmoja wa nchini Uturuki amefariki kwenye ukumbi wa sinema za ngono kutokana na shambulio la moyo wakati akijipigisha punyeto.

  Polisi wa Uturuki waliitwa kwenye ukumbi wa sinema unaoitwa Fitas Cinemas katika mji wa Sakarya ambao siku zote huonyesha sinema za ngono baada ya jamaa mmoja kufariki akijichua mwenyewe wakati akiangalia sinema hizo.

  Tukio hilo lilitokea jana katika kitongoji cha Adapazari katika mji wa Sakarya uliopo kaskazini magharibi mwa Uturuki na polisi walimtaja jamaa aliyefariki akiangalia ngono kuwa ni Hikmet Y. ambaye ana umri wa miaka 51.

  Taarifa zilisema kuwa wakati taa zilipowashwa kwenye ukumbi huo wa sinema baada ya sinema mbili za ngono kuisha, watu waliokaa siti za jirani na mwanaume huyo walishtushwa kumuona akiwa ametoa nyeti zake nje huku akiwa haonyeshi dalili yoyote ya uhai.

  Wamiliki wa ukumbi huo waliamua kuita polisi na ambulansi na walipofika walisema kuwa Hikmet alikuwa ameishafariki.

  Taarifa ya uchunguzi wa maiti yake iliyotolewa baadae ilisema kuwa Hikmet alifariki kutokana na shambulio la moyo wakati akiangalia sinema hizo.

 7. amu

  amu JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  tobaaaaaaaa!ukumbini picha za eksii .....sipat picha
   
 8. Daud omar

  Daud omar JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2013
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,467
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jamaa inaonekana alikua anajichua kavu kavu, hata mate hakupaka
   
 9. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2013
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,998
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  ataenda kusemaje kwa Sir God
   
 10. amu

  amu JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  cc: Masanilo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,570
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 145
  ^^
  Sijui ukame wa wanawake? Au nini?
  R.I.P
  ^^
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,813
  Trophy Points: 280
  hahaha ha daa
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,555
  Trophy Points: 280
  Mmmmh rest in peace.
   
 14. B

  Broken soul JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2013
  Joined: Oct 24, 2013
  Messages: 463
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ya Allah tujaalie mwisho mwema!!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2013
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah miaka 4 iliyo pita
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. amu

  amu JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  ilikuwa pending
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  Huyo atakuwa alipiga puchu na supa gluu si bure
   
 18. Sista

  Sista JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2013
  Joined: Sep 29, 2013
  Messages: 3,216
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Wapi bongo wanaonyesha hizi muvi?
  cc smile heaven on earth badili tabia BAK etc
   
 19. Sista

  Sista JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2013
  Joined: Sep 29, 2013
  Messages: 3,216
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Hivi huko bongo kumbi za ex ziko pia?
   
 20. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2013
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  wana CHAPUTA mko wapi?? RIP katibu
   
Loading...