Afanya mapenzi na mifupa ya maiti

msemakwelii

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
216
47
[h=1]Afanya Mapenzi na Mifupa ya Maiti[/h]
121123222310_skeleton_304x171_internet_nocredit.jpg


[h=1]Afanya mapenzi na mifupa ya maiti[/h]


Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.
Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti.
Wakati alipokamatwa alipatokana akiwa na mifupa ya binadamu,mafuvu, na viungo vyengine.
Pia aliptikana na picha za vyumba vya maiti na makaburi.
Bibi huyo anasema ana mahaba makubwa na maiti.

Hapa wazee ndio tunao Dunia imeisha na Mapenzi yana Imaliza Dunia, Vidume wa Nguvu tupo then Warembo wanaenda Kulala na maiti ni laana au
 
Mapepo tu huyo, aje kwa kakobe akaombewe,lol.
Afadhali nanihii sio mfupa, watu wangekata wakaweka ndani.
 
Lakini sishangai asilimia kubwa ya wazungu ni kizazi cha malaika waovu waliowaingilia wanadamu kwa mjibu wa biblia,sasa hapo usishangae mashetani hao

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
alikuwa anajisokonyola kwenye mifupa. Kitu dildo ngumu


inawezekana kweli??

Sasa haumizwi na friction?

Kweli itakua anapata utam au namna gani??

Nijuavyo mimi dushelele ina ulain lain flani ivi

kweli dunia ina mambo kaka
 
Habari nilizo nazo huyo mama ni mkatoliki, nikati yawaleee waojiita masista ete awa sex, kwahiyo bmkubwa uzarendo uka mshinda ikambidi aibe maiti na kuamua kujipoza mizuka kinyemela mpaka pele jirani alipo usoma mchezo na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria.
 
Hizo taarifa umezipata wapi kuwa ni mkatoliki na ni sisita, wakati muhusika mwenyewe amesema alitaka kuweka record ya kuwa mwanamke wa kwanza kufanya mapenzi na maiti
Habari nilizo nazo huyo mama ni mkatoliki, nikati yawaleee waojiita masista ete awa sex, kwahiyo bmkubwa uzarendo uka mshinda ikambidi aibe maiti na kuamua kujipoza mizuka kinyemela mpaka pele jirani alipo usoma mchezo na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom