Afande!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Hapo lazima uwe mpole.....
 
Attachments

  • daladala-afande.jpg
    daladala-afande.jpg
    28.1 KB · Views: 331
kuna siku moja konda alikasirika sbb gari ilijaa wanafunzi na wanajeshi watatu akasema 'leo nuksi kweli gari imejaa madent na maiti watatu'gues mwenyewe what happened.!
 
kuna siku moja konda alikasirika sbb gari ilijaa wanafunzi na wanajeshi watatu akasema 'leo nuksi kweli gari imejaa madent na maiti watatu'gues mwenyewe what happened.!
CheusiMangala walah ninavyokumisi nashindwa hata kuwaza jengine
 
NESI, MWALIMU NAO WASAMEHEWE NAULI YA DALA DALA.......... Ongeza wengine ungependa wasilipe nauli kama maa-fande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom