Afande Sele V/S Mrisho Mpoto Nani yuko sahihi?

Feb 22, 2017
6
16
Kama mmefatilia sana akaunti za Instagram za Afande Sele baada ya hukumu ya Lulu kutoka ni mtu ambaye dizain anamlaumu Marehemu ‘Kanumba’ kuzama kwny dimbwi la mapenzi na binti mdogo ‘Lulu’ ambaye anasema kwa kupindi kile alikua mdogo sana.

Upande wa Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ dizain kama kamuwakia hivi Afande Sele kwa kumwambia kuwa mtu ambaye katangulia mbele za haku hatakiwi kusemwa kwa mabaya tena...!
 
Mrisho Mpoto yuko sahihi,maiti hasemwi vibaya maana hawezi kujitetea tena.
Afande alitakiwa kuchukua hatua kabla kisa na mkasa hakijatokea.
 
  • Thanks
Reactions: THT

Similar Discussions

Back
Top Bottom