Agiza kirikuu cha baridi hapo ulipo nitalipaNatafakari kama niendelee kushiriki misiba ya wanaccm au la , haijalishi hata kama watakuwa ni ndugu zangu .
Siasa za Tanzania zilipofikia ni uadui kamili .
Agiza kirikuu cha baridi hapo ulipo nitalipaNatafakari kama niendelee kushiriki misiba ya wanaccm au la , haijalishi hata kama watakuwa ni ndugu zangu .
Siasa za Tanzania zilipofikia ni uadui kamili .
akitoka afanye siasa za kistaarabu
Wewe acha kupotoshaHuu ni utawala usiofuata katiba, wanasema hadharani bila aibu kuwa katiba wameweka pembeni wananyoosha nchi
Asante mkuu , nishaagiza , nichome na ubavu wa mbuzi ?Agiza kirikuu cha baridi hapo ulipo nitalipa
K ni K bwana"Dudu liumalo usilinyooshee kidole."... sijui kama watakuelewa hapo.......wacha Lema afunzwe adabu nasheria za nchi.
Ndugu yangu alipiga kura vibaya afu ananikopa. Namnyoosha ile mbaya. Sio kwa shida hizi....Natafakari kama niendelee kushiriki misiba ya wanaccm au la , haijalishi hata kama watakuwa ni ndugu zangu .
Siasa za Tanzania zilipofikia ni uadui kamili .
Hata mandela alinyooshwa sawa mtu akivunja sheria ahukumiwe kwa mujibu wa sheria si kumuweka ndani kwa visasi.Hiyo ni sheria tuu mmekumbushwa na Afande,,,tatizo mnasoma mnapopapenda tuuu..... mtu anavunja sheria makusudi halafu anategemea public sympath...hahahahah jele si kuzuri..Lema ana jikaza kikamanda na kutoa tabasamu lakini moyoni anajua jinsi alivyo nyooshwa....
Anaandika Afande Sele
Kusema kweli hili suala la kamanda Lema linamuumiza kila mwanadamu mwenye roho ya nyama nje ya tofauti za kiitikadi kupitia vyama vya siasa hasa kwa watu kama mimi ambao pamoja na kuwa nina familia kama Kaka Lema lakini pia najua mateso ya JELA zetu ambazo kiukweli hazitoi tofauti kubwa ya kivitendo kwa wafungwa na mahabusu hata kama ni kinyume cha utaratibu,sheria na haki za binadamu...basi kwa hitimisho la maumivu yetu juu ya mateso ya kamanda Lema na itoshe kukariri maneno ya wahenga kwamba"DUDU Liumalo usilinyooshee Kidole"Pole sana Kamanda...GOD bless LEMA!...
View attachment 451651
Afande sele is mashekh as uwamsho hujaliona, undone Hilo la lema tu au ndio kujipendekeza kwenyewe Hilo?Anaandika Afande Sele