Afande Sele: Hali ya maisha Tanzania ni ngumu sana mpaka imekuwa "Hatarishi"

Afande Sele: Hali ya Maisha Tanzania Ningumu sana mpaka imekuwa "Hatarishi"
Mbona unakula nyama tena fariani tunajuwa wao mboga na matunda wewe uko kundi LA kuwa dired rasta bila kuwa rasta farian kwa kutii kitabu kikuu NABINI ODER? nyowa manywele hayo bwana
 
Maisha matamu sana walahi
Totally wonderful life!
Kwa hizi pesa mlizogawana lazima yawe matamu
tapatalk_1537030412851.jpeg
 
Huyu afande sele amechezea sana maisha angekuwa chadema leo hiii angekuwa labda saivi ni mbungee angekuwa leo hii ana uhadhali wa maisha.

Sasa sijui ilikuweje na ni nani alimshauli ahame chadema kwenda ACT ONA WENZAKE wa karibu akina profesa J na SUGU ona wenzake hawakuhama chadema leo hii ni wabunge ,
 
Back
Top Bottom