Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

I am not an Afande Sele fan. Not one bit.

Lakini, kuna vikao fulani nilikaa na Zitto awali mwakanhuu nika detect kama ana protectionism kwa huyu rais mpya.

Nikafikiri labda ni katika falsafa nzima ya "give her some time" tu.

Lakini kadiri muda unavyoenda simsikii Zitto.

Amekuwa compromised na mfumo?

Anaji compromise mwenyewe kwa kutaka ukaribu na serikali?

Anasema hatujasikia tu?
Ni mtu wa maslahi sn
 
Mbona wa vyama vingine kama Chauma, TLP,Tadea, UDP hawafuatiliwi kiasi hiki?
Kutofuatiliwa kwa kiongozi yeyote wa siasa hakufanyi kufuatiliwa kiongozi mwingine wa siasa kuwa ajabu.

Labda hao wasiofuatiliwa hawana cha kufuatiliwa.

Ulichouliza hapa ni sawa na umemuona Ally kamaliza kuvuka barabara huku kafunga macho, halafu ukamuona Bakari kajaribu kuvuka barabara huku kafumba macho, akagongwa na gari.

Kisha ukauliza "Kwa nini Bakari kagongwa na gari?". Jibu lake ni kwa sababu kavuka barabara huku kafunga macho.

Ukiuliza "Kwa nini Ally naye kavuka barabara huku kafunga macho, lakini hakugongwa na gari?" inawezekana muda aliovuka Ally kulikuwa hakuna magari. Lakini, ukweli kwamba Ally alimaliza kuvuka barabara huku kafunga macho hauondoi ukweli kwamba kuvuka barabara huku umefunga macho ni kitu hatari.

Viongozi wote wa kisiasa wame ji expose kuchunguzwa maisha yao, by job description, hiyo ni sehemu ya kazi yao. Sasa watu wakiamua kumchunguza Zitto kwa sababu zozote, na kuacha kumchunguza Hashim Spunda Rungwe, huo ni uamuzi wao.
 
Zitto ni sungura mjanja, anatii table manners kwa upande wa serikali ya Zanzibar, hataki kujifanya mjuaji.
Lakini labda kaamua kuvichunia vyombo vya habari.Hata hivyo sio mbunge hataki kujiingiza kwenye migogoro isiompa shibe
 
Back
Top Bottom