Afande Sele atoa kauli nzito kwa Mrisho Mpoto ‘Ulistahili kupigwa risasi tano kichwani’

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Msanii wa muziki Bongo, Afande Sele (Mfalme wa Rhymes) amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo maalum uliotungwa kwa ajili ya uzalendo na kumuweka Christian Bella wakati si raia wa Tanzania.
zzzas.jpg

Afande Sele amedai kitendo hicho ni kuwakosea heshima wasanii wa Tanzania na Watanzania wenyewe. Msikilize hapo chini akifunguka zaidi pia Mrisho ajibu.

Credit: Bongo5
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom