Afande Sele atoa kauli nzito kwa Mrisho Mpoto ‘Ulistahili kupigwa risasi tano kichwani’

Afande yupo vizuri ktk argument. Wakipatikana watu wa kumtumia anaweza akafayanya kazi nzuri tuu kwa manufaa yake na hao watakao mtumia
 
Naona alivyokutana na Mheshimiwa kajipulizia mipafyumu kichupa chote,kala Big G za kutosha,ila kwa jinsi ninavyojua hii habari itatrend mpaka wiki ijayo,ila yy afande sele akitoa video haitrend hata kwa lisaa limoja youtube,kweli siasa zimeumefunika mziki,katoka NONDO kaja AFANDE SELE bora dogo Diamond alivyoenda Kenya kuzindua album yake ,sijajua baada ya hapa kitafatia kitu gani.
 
Back
Top Bottom