donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,031
- 21,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....sio bangi kweli??
Mh huyu alikurupushwa wakati alikuwa anakula...
Mwe gomba ndo nini?Hapo anakula gomba (yuko handas)
Hiyo sio kisamvu, hiyo ni mirungi a.k.a gomba, nimeimiss sana, ngoja nitatuma mtu aniletee lumbesa tatu hivi, moja ya alele, moja ya giza na moja ya kangetaKisamvu....
Mwe gomba ndo nini?
Unakaa wapi nikuagizie lumbesa moja ya gomba(mirungi) ingawa huku Tz ni illegal kule Kenya twala hadharaniMwe gomba ndo nini?
mirungi dadake
Gomba la Meru Kenya ni la ukweli acha tuHapo anakula gomba (yuko handas)
Unakaa wapi nikuagizie lumbesa moja ya gomba(mirungi) ingawa huku Tz ni illegal kule Kenya twala hadharani
ha ha ha ha haaaaaaah basi wakosa raha ya handasiAsante..ila huwa situmii gomba...
ha ha ha ha haaaaaaah basi wakosa raha ya handasi