Afande Linus G1614 maeneo ya Sayansi (Dar), ni mla rushwa mkubwa

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Walahi kati ya vita vikubwa alivyonavyo Mh. Magufuli ni rushwa ndani ya jeshi la polisi. Leo kwa macho yangu nimeshuhudia Afande moja mwenye namba G1614 (Linus) akiwa maeneo ya Sayansi akipokea rushwa kama njugu. Askari huyo amekuwa na utaratibu wa kusimamisha magari na kuomba rushwa kwa ulazima.

Mytake:

Kwa wakazi wa Dar, kwa sasa msikubali kutoa fedha mkononi, kuna mashine za TRA, na pindi mkikamatwa hakikisheni mnapewa risiti za TRA... Na unaweza kulipa faini ndani ya simu 7... Vile vile, naomba Jeshi la Polisi limchunguze afande huyu mara moja..
 
Aisee ila ni vzr ungekuja na Ka ushahidi kidogo kangetusaidia sana kuamini..mana vinginevyo itakuwa ngumu kuamini
 
Huu ni ujinga kuja kuchafuana huku jf, kama Si kweli nani atakayemsafisha? kwanini gharama uliyotumia kwa bando UKampigia kamanda wa polisi wa wilaya yake husika au mkoa na Namba zipo kila mahali? au ukapiga simu TAKUKURU? Hapana tabia ya kushtakia mitandao Si vizuri.
 
pole mkuu naona umewaka sana.ni ndugu yako nini huyo afande?ila usijali cha msingi aache hiyo tabia kwani mshahara wake ni kifungo jela
 
Hata Kama Tunataka Kutumbua Majipu, Lakini Kwa Njia Hatutoweza. Mtoa Mada Punguza Chuki Binafsi La Sivyo Njoo Na Ushahidi Uliobobea Kama Si Kutukuka.
 
Hata Kama Tunataka Kutumbua Majipu, Lakini Kwa Njia Hatutoweza. Mtoa Mada Punguza Chuki Binafsi La Sivyo Njoo Na Ushahidi Uliobobea Kama Si Kutukuka.
Nawewe pia ni mnufaika wa Ruswa,Rais kikwete mbona hadi amemaliza muda wake alikuwa na ushahidi na majina ya Wauza dawa za kulevya,majangili sugu nk,acha kuweweseka,interejensia ya KOVA ipo likizo?
 
Watanzania tuna safari ndefu sana!

Ilipotoka ile video ya traffic kila mtu alipaza sauti na yule afande akafukuzwa kazi. Kuna mtu alihoji "integrity" ya video ile?! Au kwa ulofa wetu tunadhani mtu hawezi kutengeneza video ya namna ile?! Vipi kuhusu mtoa rushwa katika video ile, alichukuliwa hatua gani maana alikuwa amevunja sheria ya barabarani hadi kukamatwa, na baada ya hapo akatoa rushwa?!

Tuhache "double standard" ili watu wawe huru kutoa taarifa za rushwa. Kama mtoa taarifa atakuwa anataka kumchafua mtu basi uchunguzi utafanywa na kama ushahidi hautatosha basi mtuhumiwa hasionewe.

Wapo watu wanatumia kodi zetu ili kufatilia malalamiko kama haya. Wafatilie kwa weredi maana inawezekana hata kumjua mtoa malalamiko iwapo itathibitika kuwa tuhuma zinalenga kumchafua mtu. Masuala ya kutaka ushahidi toka kwa anayeripoti malalamiko ya rushwa ndio yameiangusha vita dhidi ya Rushwa.
 
Hakuna mtu ambae hali rushwa dunia hii na kama yupo ajitokeze, acha chuki binafsi hizo kazi zina watu binafsi wewe unavyoonekana ni askari na hakukupa chako mlichopata. Raia hawezijua namba za askar au initio zake kama leo kakupata wewe kesho utampata wewe sindo mnavyofanya kwa pamoja?
 
Hata Kama Tunataka Kutumbua Majipu, Lakini Kwa Njia Hatutoweza. Mtoa Mada Punguza Chuki Binafsi La Sivyo Njoo Na Ushahidi Uliobobea Kama Si Kutukuka.

Lazima tuwatumbue majipu tu!!!,offcourse huwa yanauma lkn hakuna namna itabidi mvumilie hivyo hivyo,Si mlikuwa mnaimba CCM mbele kwa mbele,sasa tulieni hivyo hivyo dawa iingie vizuri.Mtanyoooka tu.
 
pole mkuu naona umewaka sana.ni ndugu yako nini huyo afande?ila usijali cha msingi aache hiyo tabia kwani mshahara wake ni kifungo jela

You are too na?ve, kwa Hiyo unaona ni haki kumtuhumu MTU tena kwenye jukwaa kama hili bila ushahidi? huyo aliyetuhumiwa ana nafasi gani ya kujisafisha?
 
Siyo rushwa hiyo ni posho.Elewa hapati Barabarani Allowance kama vile wabunge wanavyolipwa sitting allowance.Pili....anasaidia saan kuounguza foleni na kuweka hali ya usalama.Tatu.....huyo na wengine huwa wanapokea hata shs 2000 ambayo ni sawa kabisa.Wenye magari endeleeni kuwasaidia lakini musiwape rushwa....wapeni posho na maji ya kunywa kwani munaisaidia serikali.
 
Back
Top Bottom