Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,854
Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika.

Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya makundi FDLR, RLA, PRA, RUF,PDR na mengine mengi ambayo sijayataja hapa wakati wewe ndio uliwafukuza madarakani tokea 1994?

Unadhani watakaa Congo DRC, Tanzania, Kenya, South Sudan, Burundi, Uganda, USA, Canada na Australia mpaka lini kwenye hali ngumu kimaisha na kiukimbizi wakati Rwanda ni nchi yao pia?

Wengi wa wanajeshi uliowapindua wameshakufa vimebaki vizazi vipya ambavyo dhumuni lao kubwa ni kurudi Rwanda iwe kwa nguvu au kwa demokrasia. Wewe mwenyewe ulikaa Uganda na Tanzania miaka mingapi kama mkimbizi mpaka mjomba Museveni alipokupa mipango ya kurudi Rwanda au umesahau?

Usiogope kupambana afande Kagame, sababu anayeua kwa upanga lazima atauawa kwa upanga. Au umesahau kuwa dunia nayo ilikuwa inaona jinsi RPF ilivyokuwa inaua Wahutu na Wakongomani ndani ya Rwanda na ndani ya Congo DRC majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kulipiza kisasi cha genocide ya Watusi ya mwaka 1994 iliyofanywa na serikali ya Habriymana?

Sawa ipo wazi kuwa Habyrimana alikua mbaguzi, katili, mkabila na asiyependa demokrasia hilo linajulikana, ila na wewe toka uchukue madaraka kutoka kwenye kivuli cha Bizimungu umekua kama yeye, hakuna tofauti!

Sasa usiogope kurudi frontline kupambana na ukumbuke kuwa Rwanda hakuna uchaguzi huru toka Mbeligiji aondoke, bali mtutu wa bunduki ndio unaamua mtawala.

Mchawi wala sio Wakongomani au Watanzania au Warundi au Waganda bali mchawi ni wewe mwenyewe uliyevuruga mambo kwa kuukumbatia ukabila na ulevi wa madaraka kama role model wako mjomba Museveni.

Sasa Afande Kagame acha kulalamika kama sio mwanajeshi mbobezi, bali usiogope kurudi uwanja wa mapambano kushika bunduki na kuongoza vikosi na ipo siku usiyotegemea watu watasogea Kigali.

Yaliyomkuta Kanali Doe pale Monrovia na wewe yanaweza kukukuta siku watu wakisogea Kigali na wewe ukiwa haujaondoka ikulu. Au umesahau Mobotu alivyoponea uchupu chupu kule Gabolite alipogoma kuondoka Zaire ya zamani mwaka 1997?

Acha uoga afande, wewe uliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki, basi na watu wakitaka kukutoa madarakani kwa mtutu wa bunduki "Usilalamike".
 
Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya watanzania iliyoandikwa kwa lugha za kiswahili ama kingereza kama jamii forum na kadhalika.Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali,mbona unakua muoga wa kurudi frontline kupambana na haya makundi FDLR,RLA,PRA,RUF na mengine mengi ambayo sijayataja hapa wakati wewe ndio uliwafukuza madarakani tokea 1994??????Unadhani watakaa Congo DRC,Tanzania,Kenya,South Sudan,Burundi,Uganda,USA, Canada na Australia mpaka lini kwenye hali ngumu kimaisha na kiukimbizi wakati Rwanda ni nchi yao pia????Wengi wa wanajeshi uliowapindua wameshakufa vimebaki vizazi vipya ambavyo dhumuni lao kubwa ni kurudi Rwanda iwe kwa nguvu au kwa demokrasia.Wewe mwenyewe ulikaa Uganda na Tanzania miaka mingapi kama mkimbizi mpaka mjomba Museveni alipokupa mipango ya kurudi Rwanda au umesahau.Usiogope kupambana afande Kagame,sababu anayeua kwa upanga lazima atauawa kwa upanga au umesahau kua dunia nayo ilikua inaona jinsi RPF ilivyokua inaua Wahutu na Wakongomani ndani ya Rwanda na ndani ya Congo DRC majimbo ya Kivu kaskazini na Kivu kusini kulipiza kisasi cha genocide ya Watusi ya mwaka 1994 iliyofanywa na serikali ya Habriymana.Sawa ipo wazi kua Habyrimana alikua mbaguzi,katili,mkabila na asiyependa demokrasia hilo linajulikana,ila na wewe toka uchukue madaraka kutoka kwenye kivuli cha Bizimungu umekua kama yeye hakuna tofauti.Sasa usiogope kurudi frontline kupambana na ukumbuke kua Rwanda hakuna uchaguzi huru toka mbeligiji aondoke bali mtutu wa bunduki ndio unaamua mtawala.Mchawi wala sio Wakongomani au Watanzania au Warundi au Waganda bali mchawi ni wewe mwenyewe uliyevuruga mambo kwa kuukumbatia ukabila na ulevi wa madaraka kama role model wako mjomba Museveni.Sasa Afande Kagame acha kulalamika kama sio mwanajeshi mbobezi bali usiogope kurudi uwanja wa mapambano kushika bunduki na kuongoza vikosi na ipo siku usiyotegemea watu watasogea Kigali.Yaliyomkuta Kanali Doe pale Monrovia na wewe yanaweza kukukuta siku watu wakisogea Kigali na wewe ukiwa haujaondoka ikulu.Au umesahau Mobotu alivyoponea uchupu chupu kule Gabolite alipogoma kuondoks Zaire ya zamani mwaka 1997.Acha uoga afande wewe uliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki,basi na watu wakitaka kukutoa madarakani kwa mtutu wa bunduki""Usilalamike""
Amelalamika wapi ?

USSR
 
Mzee daily analalamika akienda tour ulaya na USA.Juzi kamnunia raisi wa Angola wazi wazi,kisa kaamua kumwambia ukweli kuhusu vurugu za jimbo la Kivu kaskazini Congo DRC na waasi wa M 23.
Hayo majeshi ni mkono wa huko huko alikotoka Afande anapewa vumbi kidogo tuu unadhani ingekua hawatakiwi si wangechangishana kama vita ya Ukraine au walivyoenda kubomoa mapango ya Torabola si unawaona hata vikao vyao vya Umoja wa Mataifa ishu ya vita DRC sio agenda kuu...
 
Sijakuelewa kidogo mkuu
 
Pale naona bora hata Somalia hata sisi wapita njia lolote linaweza kukupata jamaa hawataki utani kabisa...Transit ya Kigali huwa siipendi
Mkuu uliposema transit ya Kigali huipendi umenikumbusha mbali sana mkuu.Ila ndio maisha na utafutaji wa pesa,utafanyaje sasa mkuu???
 
Mataifa makubwa ndio wafadhili wa hayo majeshi M 23 huyo afande ni Agent tuu tunaongea kwa code maana huku anapita pita sana tura yule..
Mjomba angu yule,sema mzinguaji sana🤣🤣🤣.Alimzinguaga raisi kikwete issue hizo hizo.Baada ya Kikwete kumpa ushauri bora wa kisiasa unaohusu maridhiano.
 
Mkuu uliposema transit ya Kigali huipendi umenikumbusha mbali sana mkuu.Ila ndio maisha na utafutaji wa pesa,utafanyaje sasa mkuu???
Niliwahi pita pale enzi za corona imepamba moto huko nakokwenda wakaweka vizingiti tupime ndani sijui ya masaa 72 kipimo kisiwe kime expire ikabidi tubaki pale siku mbili siku ya pili nikaamua kuhama Hotel ambayo nililipa sio ile ya shirika ililolipa aisee walikuja usiku kuniuliza mbona nimehama bila kutoa taarifa ilikua ni kipindi tuu..nilicheka sana nikawaambia acheni mambo zenu hizo mimi hapa nipo Transit na ni emergency imeniweka hapa na wala sikua na plan ya kuwa Kigali... hawajibu wanakaa kimya kama Wakorea na kuondoka..
 
Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika.

Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya makundi FDLR, RLA, PRA, RUF na mengine mengi ambayo sijayataja hapa wakati wewe ndio uliwafukuza madarakani tokea 1994?

Unadhani watakaa Congo DRC, Tanzania, Kenya, South Sudan, Burundi, Uganda, USA, Canada na Australia mpaka lini kwenye hali ngumu kimaisha na kiukimbizi wakati Rwanda ni nchi yao pia?

Wengi wa wanajeshi uliowapindua wameshakufa vimebaki vizazi vipya ambavyo dhumuni lao kubwa ni kurudi Rwanda iwe kwa nguvu au kwa demokrasia. Wewe mwenyewe ulikaa Uganda na Tanzania miaka mingapi kama mkimbizi mpaka mjomba Museveni alipokupa mipango ya kurudi Rwanda au umesahau?

Usiogope kupambana afande Kagame, sababu anayeua kwa upanga lazima atauawa kwa upanga. Au umesahau kuwa dunia nayo ilikuwa inaona jinsi RPF ilivyokuwa inaua Wahutu na Wakongomani ndani ya Rwanda na ndani ya Congo DRC majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kulipiza kisasi cha genocide ya Watusi ya mwaka 1994 iliyofanywa na serikali ya Habriymana?

Sawa ipo wazi kuwa Habyrimana alikua mbaguzi, katili, mkabila na asiyependa demokrasia hilo linajulikana, ila na wewe toka uchukue madaraka kutoka kwenye kivuli cha Bizimungu umekua kama yeye, hakuna tofauti!

Sasa usiogope kurudi frontline kupambana na ukumbuke kuwa Rwanda hakuna uchaguzi huru toka Mbeligiji aondoke, bali mtutu wa bunduki ndio unaamua mtawala.

Mchawi wala sio Wakongomani au Watanzania au Warundi au Waganda bali mchawi ni wewe mwenyewe uliyevuruga mambo kwa kuukumbatia ukabila na ulevi wa madaraka kama role model wako mjomba Museveni.

Sasa Afande Kagame acha kulalamika kama sio mwanajeshi mbobezi, bali usiogope kurudi uwanja wa mapambano kushika bunduki na kuongoza vikosi na ipo siku usiyotegemea watu watasogea Kigali.

Yaliyomkuta Kanali Doe pale Monrovia na wewe yanaweza kukukuta siku watu wakisogea Kigali na wewe ukiwa haujaondoka ikulu. Au umesahau Mobotu alivyoponea uchupu chupu kule Gabolite alipogoma kuondoka Zaire ya zamani mwaka 1997?

Acha uoga afande, wewe uliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki, basi na watu wakitaka kukutoa madarakani kwa mtutu wa bunduki "Usilalamike".
Na wewe badala ya kulalamika nenda kapambane naye umpindue uchukue madaraka , uyarudishe haya makundi
kama unawashwa
 
Nimesoma nimebaki natetemeka

Hapo mhanga siyo Afande Kagame. Mhanga ni mwananchi wa Rwanda.

Kagame ashauriwe kukaa meza ya mazungumzo kwa sababu mema aliyoifanyia Rwanda ni kwa faida ya wananchi wa Rwanda. Kushikiana mtutu ni dalili ya kupalilia uharibifu.

Tusiwaonee wivu wanyarwanda bali tuangalie namna ya kuwapatanisha kwa sababu ni wilaya ya Afrika inayopiga hatua kubwa kiuchumi.

Tusifikie huko jamani.
Vita ni adui wa ustawi
 
Niliwahi pita pale enzi za corona imepamba moto huko nakokwenda wakaweka vizingiti tupime ndani sijui ya masaa 72 kipimo kisiwe kime expire ikabidi tubaki pale siku mbili siku ya pili nikaamua kuhama Hotel ambayo nililipa sio ile ya shirika ililolipa aisee walikuja usiku kuniuliza mbona nimehama bila kutoa taarifa ilikua ni kipindi tuu..nilicheka sana nikawaambia acheni mambo zenu hizo mimi hapa nipo Transit na ni emergency imeniweka hapa na wala sikua na plan ya kuwa Kigali... hawajibu wanakaa kimya kama Wakorea na kuondoka..
Mzee walikujia wale makachero wa kawaida,au wale wanajiita special force????.Ni kawaida yao kutowaamini Watanzania mkuu.
 
Back
Top Bottom