Afamilia ya miaka hii siku hizi ni hivi tu maendeleo hayo jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
552127_4361524477720_1484120549_n.jpg
 
Huyo mwanaume anapunguza nguvu za kiume. Inadaiwa kuweka laptop mapajani kunaua nguvu za kiume kutokana na joto linalotolewa na laptop.
 
Huyo mwanaume anapunguza nguvu za kiume. Inadaiwa kuweka laptop mapajani kunaua nguvu za kiume kutokana na joto linalotolewa na laptop.
Mkuu mhondo Ndio ni kweli kuweka Laptop kwenye mapaja kunasabibisha nguvu za kiume zipunguwe mwache apungukiwe nguvu kwa sababu amaeshapata watoto 2 wanatosha kizungu zungu wakisha wazz watoto wawili inatosha kiafrika frika tunahitaji watoto wengi kama vile anavyozaa nguruwe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom