Afadhari walim wametoka lkn tunawaomba watushike mikono wasitusahau wenzao!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afadhari walim wametoka lkn tunawaomba watushike mikono wasitusahau wenzao!.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Pawaga, Jan 21, 2012.

 1. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Habari wakuu wanaJF. Niwapongeze walim wote waliopata vituo vya kazi na niwatakie kazi njema. Nina ombi jaman kabla ya kwenda huko mlikopangiwa mtushike mkono na mtupeleke pale mlipokuwa mnafanya internship au temporary job ili nasi tupate sehem ya kujikeep busy na uzoefu tunapohangaika na michongo mingine,.jamani mi nipo tayari popote kwa chance yoyote ile. Asanteni sana
   
 2. K

  Kajole JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  hilo nalo neno,hvi wewe kwani upo wapi?
   
 3. T

  Tiamaji Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushikwe mkono na nani?,pambana mwenyewe
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hiyo kweli,mtusaidie hata sisi tuliokosa mikopo mwaka jana,angalau tupate pa kujishikiza kwa muda ili tuombe tena mwaka huu.
   
 5. f

  frank lungwa New Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa nipigie 0685123891 nikwambie mchongo wa kufanya
   
Loading...