juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Baada ya kupata uDC wa musoma,ni matumaini yetu kwamba ataenda kuishi huko na familia yake(kama ameoa lakini). Maaan tulimchoka kila mara anazurura kwenye vituo vya televisheni,mara leo channel ten,mara itv,mara mlimani tv,mara star tv,yaani kazunguka vituo vyote hapa mjini,sasa tutapumzika kumuona mchambuzi huyohuyo tu kana kwamba wachambuzi wengine hawapo,hongera Polepole amevuna alichopanda