Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Leo Naibu Spika ametangaza kuwa Wabunge wanaosusia Bunge na kutoka wasilipwe posho.Ningempongeza Naibu Spika kama angeongeza Na Wale Wabunge ambao wakati wa mijadala inaendelea Wao huwa wamesinzia Na kutokuchangia mijadala wao pia wangenyimwa posho Kwa wamefanya Bungeni ni kijiwe cha kusinzia.