chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Akichangia mambo kadhaa bungeni mbunge wa Sumbawanga mjini amesema wabunge wa CHADEMA wanaunga mkono kukatwa kodi ya kiinua mgongo kwa maneno tu lakini hawawezi kufanya kwa vitendo, amesema mbunge yeyote wa CHADEMA atakayepeleka barua ya kukubali kukatwa kodi ya kiinua mgongo basi yeye atakuwa wa kwanza kumfuata na kumuunga mkono kukatwa kodi.