Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Huyu ********* ni mbaguzi na posts zake zote ni za kibaguzi.
shame on you. Kwani huku Afrika unatafuta nini wewe mkimbizi usiye na kwenu? Si ni shida za kwenu tu zinakukimbiza huku na kule?
Kila post yako imejaa ubaguzi dhidi ya blacks hivi una shida gani wewe?
Mkuu mweleze kabisa. Kwanza atupe statistics za ajali za ndege duniani na rubani ni akina nani katika matukio hayo?? Tuanzie tu kwa Tanzania, nasifu sana tuna marubani wazuri mno, tatizo hatuna ndege tu basi. Huyu fisadi wa ubaguzi wa rangi usisogee kabisa hapa maana utapakwa matope mpaka ujibadilio ID uingie kivingine!!!