Aendesha baskeli toka Singida hadi Dodoma kumwona Mh. Magufuli

wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
7,454
4,377
Mwanaume mmoja ameendesha baskeli kutoka Singida hadi Dodoma kwenda kumwona mh. rais pamoja na kushuhudia rais huyo akikabidiwa uenyekiti wa chama cha mapinduzi- ccm

Ktk safari hiyo ya kilometa 240 tokea singida mwanaume huyo aliambatana na mwanae mdogo.

Mzazi huyo ameambatana na mwanae akiamin baadae mwanae atakuwa kiongoz mkubwa pengne atakuwa rais 2050... Pia anategemea kupata nafasi ya kumwona rais ili aweze kumpa baraka mwanae aliyeambatana nae.

Baadhi ya wazee wamekuwa na wasiwasi na usalama wa mtoto huyo wakati akiwa safarini

*Pamoja na jitihada za mtu huyo kwenda dodoma kwa baiskeli.
Usalama wa mtoto inabidi uangaliwe wakiwa wanarudi Singida

chanzo: redio
 
Mh!Bongo kuna mambo.
 
Uzuri ni kwamba hospitali ya Mirembe ya wagonjwa wa akili iko hapo hapo Dodoma, tunamuomba mtukufu Rais agharamie matibabu ya mzee huyu, uzuri usafiri wa kuja Dodoma amejigharamia mwenyewe.

Mkuu.
Akili inaweza kuwa safi tu tatizo likawa ukosefu wa ufahamu na elimu.
 
hi
Mwanaume mmoja ameendesha baskeli kutoka Singida hadi Dodoma kwenda kumwona mh. rais pamoja na kushuhudia rais huyo akikabidiwa uenyekiti wa chama cha mapinduzi- ccm

Ktk safari hiyo ya kilometa 240 tokea singida mwanaume huyo aliambatana na mwanae mdogo.

Mzazi huyo ameambatana na mwanae akiamin baadae mwanae atakuwa kiongoz mkubwa pengne atakuwa rais 2050... Pia anategemea kupata nafasi ya kumwona rais ili aweze kumpa baraka mwanae aliyeambatana nae.

Baadhi ya wazee wamekuwa na wasiwasi na usalama wa mtoto huyo wakati akiwa safarini

*Pamoja na jitihada za mtu huyo kwenda dodoma kwa baiskeli.
Usalama wa mtoto inabidi uangaliwe wakiwa wanarudi Singida

chanzo: redio
hii sasa sifa
 
Alafu anajitokeza MTU anatubania pua ,
Eti

Magufuli hapendwi na watu
 
Back
Top Bottom