Advocate Mwakingwe hatunaye tena.

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Wakili wa siku nyingi mjini Iringa na ukanda wa juu kusini Mheshimiwa Mwakingwe alifariki dunia siku ya Jumanne week hili. Mungu amlaze mahari pema peponi, amina
 
Duh! Aliugua nini? Maana jamaa alikuwa chapombe pamoja na sigara.
 
Wakili wa siku nyingi mjini Iringa na ukanda wa juu kusini Mheshimiwa Mwakingwe alifariki dunia siku ya Jumanne week hili. Mungu amlaze mahari pema peponi, amina

Mkuu ni mahali na siyo mahari. Mahari ni ile kitu unatoa unapotaka kuoa!
 
mungu amlaze mahala pema peponi namkumbuka alikuwa diwani wa kwanza 1994 kushika kiti cha udiwani kata yaGANGILONGA kata ambayo IKULU ya mkuu wa mkoa ipo ndani yake kupitia chama cha NCCR mageuzi.alikuwa mwanamageuzi kweli hiyo kata mpaka sasa inaweza rudi upinzani kwani kuna uchaguzi mdogo tena baada ya diwani wa CCM kufariki mwaka jana.
 
Duh! Aliugua nini? Maana jamaa alikuwa chapombe pamoja na sigara.
Alikuwa anaumwa kisukari kwa muda mrefu.Alikuwa mtu wa watu alipendwa na watu wengi sana
Pia alikuwa anasaidia kesi za watu kwa bei ndogo sana au hata bila malipo kama ukimwambia huna uwezo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom