Wakili wa siku nyingi mjini Iringa na ukanda wa juu kusini Mheshimiwa Mwakingwe alifariki dunia siku ya Jumanne week hili. Mungu amlaze mahari pema peponi, amina
Mkuu ni mahali na siyo mahari. Mahari ni ile kitu unatoa unapotaka kuoa!
Alikuwa anaumwa kisukari kwa muda mrefu.Alikuwa mtu wa watu alipendwa na watu wengi sanaDuh! Aliugua nini? Maana jamaa alikuwa chapombe pamoja na sigara.