Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

wewe unaesema mange ni gold digger utakuwa ni mwanaume
magai did assault mange last weend although not to the extend that mange has claimed but can u blame her?
he should never have touched her,a alfu yeye ni mwanasheria,atakoma
 
mange has never dated magai guys.get your facts straight.
magai is violent the whole town knows that, he did assault a very young girl last year anaitwa resty, huyo resty akamfungulia kesi magai akamlipa dole 2000 mtoto akapagawa akafunga kesi. also magai aliwahi kumchapa vibao muhindi wa karibu hotel,magai anahitaji kufundhsiwa adabu,

my question is who is advicing magai on how to handle this embarrasment?
magai could have dealt with mange since last sunday?instead alidharau na kesho yako alionenaka rose garden akijitamba kwa kitu alichokifanya akiwa hajui kuwa kesi imeshafika polisi?also
magai kapeleka mashahidi watatu polisi, manager wa bar kempinsi bwana nicolas , bouncer na ama blaze yule mtangazaji wa radio na wote hawa watatu wameclaime kwenye statement zao kuwa hakuna kitu chochote kilichotokea pale na kuwa magai wala mange hawakuvamiana.
hivi hawa mashahjidi wanajua kuwa wamevunja sheria?
wanajua kuwa pale level 8 kuna cctv camera?
na ama blaze alikuwa na mmoja wa watu waliokuwa wanamshika magai amuache mimi kiwa machoi yangu nilimuona akisaidiana na kina justine masawe kumtoa magai?
imekuwaje kaenda kusema uongo polisi?
amos aka ama blaze
hizo pombe za bure unazonunulia na magai na group lake zitakutokea puani this time.mashahidi wa mange ni very credible professional people, magai kapeleka very bribale people, a dj, bounce and bar manager, bar manager ambae ameshaonekana mara nyingi akinywa pombe na magai na rafiki zake nje ya kesmpinski?

mange kama lawyer wako hajakushauri tafadhali ukimalizana na magai tafadhali wafungulie kesi kempinski kwa kitu kilichofanyw na wafanyakazi wao, nakuahidi kempinski watasettele na wewe kesho yake manake wameshaona jinsi gani hii case ni high profile.
magai thinks he is above the law kutwa kushinda bar rose garden akishika ****** na kutukana ma bar medi, huyu ni mdhalilishaji?ni mara ngapi mke wake keshamkuta pale rose garden na wanawake na magai kukimbia?

huyu magai na wenzie wanaodao magai kawachafua kwnye mtandao watapelekeka ushahidi gani mahakamani?na
hawa hawajachafuliwa wamejichafua wenyewe magai,waziri masha na kundi lao lote ni wachafu sana, wanatembea na watoto wadogo, weekenda utawakuta wapo trinity kule nyuma wakiwashikashika watoto wadogo ******,na kufanya nao mapenzi na huwa hawajifichi kama hii siku ya kasheshe magai alifika kempinski na msichana mdogo anaitwa brenda huku rafiki yake bashir awale md wa stanbic bank akuwa na msichana anaitwa sandra, walikuwa wankula denda bila hofu.sasa kwanini wanasema mange kawachafua ,wakati wenyewe ni wachafu?

mange hawa wakikufungulia kesi kuwachafua tafuta vitoto vinne tu vya kuongea mahakamani na kesi itakwisha

magai, unajua kuwa sasa this case is being used to destroy waziri masha?imekuwaje heading ya kulikoni jana imesoma waziri masha na sio wewe. magai this is a lose lose situation for u and a win win situation for mange,
u are in big trouble.
do u know the reputation problem u caused IMMA advocates?hivi wewe baba kwanini huna akili na badala ku kumuomba mange msamaha baada ya kukufungulia criminal case wewe ukalet mashahidi tayari kwa kupambana nae ndo maana akakufungulia na civil suit.

sasa u will be convicted in the criminal case and there will be alot of pressure to the bar associate to remove u from the system.

the truth is u did not expose mange's breast to the public hiyo mange kaongeza ili kesi yake iwe nzito zaidi sema ni kweli ulimshika nguo zake na kumtikisa na kumrushia maneno na kumsukuma sasa amekutengenezea kesi nzuri sana, manake mpaka ana PF 3 ya daktati inayoendana na claim yake.



U ARE GOING DOWN MAGAI AND U ARE TAKING WAZIRI MASHA AND IMMA ADVOCATES WITH YOU.
 
...akijitamba kwa kitu alichokifanya akiwa hajui kuwa kesi imeshafika polisi?

... baada ya kukufungulia criminal case wewe ukalet mashahidi tayari kwa kupambana nae ndo maana akakufungulia na civil suit.

...sasa u will be convicted in the criminal case and there will be alot of pressure to the bar associate to remove u from the system.

Ashasaidi,

Criminal case imefunguliwa pia? Naomba kama kuna source ya media report ikisema kuna criminal case.
 
Shadow,

Kama unavyojua, kesi nyingi za madai huwa zina settle nje ya mahakama, kwa hiyo huwa sitegemei mengi yaibuliwe na kesi. Na hata zisipo settle, press ya Tanzania huwa haiwezi ku cover details za kesi kwa undani. Unaweza kusikia fulani kafungua kesi halafu jiiiiii!

Ila ningependa kama angeshtakiwa kesi ya jinai tuone kama Law Society wangem disbar akipatikana na makosa. Lakini na hapo pia tusingeweza kusikia details za kesi zinavyokwenda. I mean, imagine mpaka leo hakuna gazeti limeandika kina Yona na Mramba wameshtakiwa kwa kuvunja sheria gani. Kiasi cha mtu kwenda kusoma criminal complaint tu, wanashindwa. Ndo maana hizi kesi zikianza I never hold my breadth.

Huyo Uwiano Maalum naona hajui anachokisema. Anamlaumu aliyepigwa eti ana "provoke wanaume wenye pesa kutafuta uhusiano." Hivi ukitaka kumchuna mtu unatam provoke? Anasema sheria na jamii isimpe sympathy ya "uislam na uanammke" halafu hapo hapo anajifanya ame maindi mama alivyopigwa. How preposterous.

Mkuu Kuhani,

Nimekupata uzuri hapo. Unajua mkuu naomba kuongezea kwamba watu wanavutika sana na sensetional news na kusahau kujadili substance ya hizi case. Matokeo yake tunakuwa subjective to the character of the person badala ya kuangalia ni nini kilichopo mbele ya mikono ya vyombo vya sheria.
 
...magai kapeleka mashahidi watatu polisi, manager wa bar kempinsi bwana nicolas , bouncer na ama blaze yule mtangazaji wa radio na wote hawa watatu wameclaime kwenye statement zao kuwa hakuna kitu chochote kilichotokea pale na kuwa magai wala mange hawakuvamiana.
hivi hawa mashahjidi wanajua kuwa wamevunja sheria?
wanajua kuwa pale level 8 kuna cctv camera?
na ama blaze alikuwa na mmoja wa watu waliokuwa wanamshika magai amuache mimi kiwa machoi yangu nilimuona akisaidiana na kina justine masawe kumtoa magai?
imekuwaje kaenda kusema uongo polisi?

...kwenye nchi zenye kuheshimu utawala wa kisheria, 'if proven guilty' wanaangukia kwenye kosa la perverting the course of justice, lakini kwa Tanzania aaaarrrghhh, tunakwenda kwenda tu!

criminal casee hii hapa

CD/RB/3298/09
CD/IR/1057/09

Iits been reported on the paper KULIKONI

...si ajabu jalada la kesi likapotea baada ya kesi kupigwa dana dana na kalenda nyiiingi, ...labda kama ulivyo hint uwezekano wa 'mtu' kuinunua hii kesi toka kwa binti Kimambi ili kuisambaratisha IMMA advocates...
 
criminal casee hii hapa

CD/RB/3298/09
CD/IR/1057/09

Iits been reported on the paper KULIKONI

Asante, Ashasaidi.

I hope KULIKONI watatupa muendelezo wa hii kesi.

Sasa Ms. Kinambi anaharakisha nini kufungua civil case hata siku tano hazijapita toka apigwe? Angesubiri disposition ya criminal case.

Hata Magai akishinda criminal case bado MS. Kunambi anaweza kushinda kesi ya madai kutoka katika facts zile zile kwa sababu viwango vya uthibitishaji kesi ni tofauti. Na sioni atashindwa vipi kuthibitisha kwamba Magai alimrukia. Kitu kimetokea hadharani Kempiski, mi kamera kibao, alama za kichapo anazo, picha nzima imejaa alama za night life drama.

Na Magai akishindwa criminal case, civil case ndio mteremko tena. She's got nothing to lose by waiting for the criminal case. Angesubiri.
 
Wakuu i have read a few posts by Mange in various blogs and after now reading posts by our new member Ashasaidi i have a strong inclination to believe it is the same person due to the writing style and choice of words.Welcome to JF,on this one am on you side,no human should be assaulted or humiliated in public or private.
 
Wakuu i have read a few posts by Mange in various blogs and after now reading posts by our new member Ashasaidi i have a strong inclination to believe it is the same person due to the writing style and choice of words.Welcome to JF.

Who cares?

I mean, this is not facebook, not Utamu. Wewe Lagatege mbona unajificha mwenzako ndio unam expose?

Kama unamjua Mange kanywe nae chai!
 
Who cares?

I mean, this is not facebook, not Utamu. Wewe Lagatege mbona unajificha mwenzako ndio unam expose?

Kama unamjua Mange kanywe nae chai!


Hahahahahahaha...

This brother, make it plain brotherkaka.

"Kanywe nae chai" a la Mwalimu pale Msasani siyo?
 
Hujui kama Mwalimu hakuniiga mimi pale Msasani. Hunijui.

Mwalimu alikuwa ana tafsiri vitabu vya kina Shakespeare anachukua idea za watu, Wachina, anazileta Bongo!
 
Hujui kama Mwalimu hakuniiga mimi pale Msasani. Hunijui.

Mwalimu alikuwa ana tafsiri vitabu vya watu na kuchukua idea za watu anazileta Bongo!

This brother, wewe Shakespeare, au Shakespeare ndiyo wewe!

Mwalimu alikuwa anatafsiri lyrics kutoka nyimbo za British bands wakati wa vita vikuu vya pili bila kutoa credit.

Eti,

"Uwezo tunao, nia tunayo sababu tunazo"

Watu wakamuona geeenius kumbe Joe Biden fulani hivi!
 
I am who I am. Ukweli lazma usemwe, niliona kila kitu mange alichoclaim kasoro titi na akitaka nimsaidi kutesty nitafanya kwa pesa kidogo tu. Jamaa ni kweli kamuattack.ukitaka kusoma post za mange nenda utamu huwa anaweka na jina lake hadharani!
 
I am who I am. Ukweli lazma usemwe, niliona kila kitu mange alichoclaim kasoro titi na akitaka nimsaidi kutesty nitafanya kwa pesa kidogo tu. Jamaa ni kweli kamuattack.ukitaka kusoma post za mange nenda utamu huwa anaweka na jina lake hadharani!

Its good you have mentioned utamu because your post no.81 of 3.25 appears there completely the same word for word.
 
Hivi huyu Magai anajifanya yeye mtemi sana eeeh? And he picks on women to fight...puh-liiiz....I bet you he hasn't met his match yet. Let I meet him one day....he's gonna need reconstructive surgery after I re-arrange his ugly face. Gotdamit
 
I am who I am. Ukweli lazma usemwe, niliona kila kitu mange alichoclaim kasoro titi na akitaka nimsaidi kutesty nitafanya kwa pesa kidogo tu. Jamaa ni kweli kamuattack.ukitaka kusoma post za mange nenda utamu huwa anaweka na jina lake hadharani!

Kutestify kwa kitu kidogo tena?

Huo ushahiidi hauna nguvu!
 
Kutestify kwa kitu kidogo tena?

Huo ushahiidi hauna nguvu!

Na mimi nilishtuka, lakini nitetee kidogo ushahidi wa kulipwa, not necessarily Ashasaidi mwenyewe.

Hata sehemu zilizopevuka katika sheria, kama vile Marekani, expert witnesses huwa wanalipwa wazi wazi, na ushahidi wao unakuwa na nguvu. Huyu sio expert witness wa ku analyze vipigo, but what's the difference?

Ila kwa kweli sikutegemea Ashasaidi aseme wazi wazi kwamba akilipwa ata testify. Isitoshe nasikia kulikuwa na mtu kibao, wengine wanaweza ku testify bure, kwa nini yeye ndio atangaze biashara? Anatafuta mlo wazi wazi.

Kwa kweli sasa nashindwa kumchukulia seriously.
 
Yes, they mean it literally!

Wanamaanisha, kwa fikra zao, kwa mawazo yenu, mwanamke ni mtu weakling weakling, hayuko rafu rafu akiendesha gari, kazi yake kulia lia, udhaifu na kulalamika. Nyinyi msemao hivyo mnamaanisha literally!

Na wewe ulipomlaumu Magai kwa kumpigia Kempiski badala ya bar ya uswahilini umeharibu. Just because hayo mambo yanatokea kila siku uswahili haina justify kwamba ni sawa.

Unasema kama hatujapita uswahilini, okay, sasa wewe "uliyepita" uswahilini na mimi ambae sijapita nani anakujali zaidi huko Uswahilini, mimi au wewe unaeshabikia kwamba ili Magai aonekane mtu mzima mwenye akili zake basi amchukue mwanamke akambwengee kwenye bar za Usweken kwa sababu huko watu watasema mwanamke "malaya tu"! Zanaki unaharibu, kataa usikatae.

"Kupita uswahilini"! Tena usije ukajichanganya mitaa ya kati kumpiga mwanamke "kwenye bar uswahilini." Kuna anga fulani fulani tutakugombania na utakuona kuchungu usije "kupita" tena. Na huko Kempiski kwenyewe na sisi "tukipita" tukakuta unamshauri Magai amlete mwanamke kumchapia usweken tutawarukia wewe na Magai!


Umenimaliza kweli! Kwanza huko nyuma unasema kupiga mtu,whether ni mwanamke au mwanaume ni wrong...then wewe huyohuyo unasema...'Kuna anga fulani fulani tutakugombania na utakuona kuchungu usije "kupita" tena. Na huko Kempiski kwenyewe na sisi "tukipita" tukakuta unamshauri Magai amlete mwanamke kumchapia usweken tutawarukia wewe na Magai...'

..hilo ndio la maana niliona katika yote uliyoandika! Maana mpaka una imply kuwa mimi 'namlaumu Magai kupiga mwanamke Kempiski....' wapi hio? Mtu
akisema wanajeshi wa Israel wanauwa wapalestina haina maana neccessarily anatetea au ana condemn,ni kwamba hayo YANATOKEA HUKO,na kila mtu yuko huru kutumia mifano kama hio,ili labda imsaidie kueleweka vizuri.Kama bado unaamini eti mimi niliona kitendo hicho cha Magai sio sawa kwa sababu kakifanyia Kempiski,hilo mimi halinihusu kabisa....kanywe nalo chai
 
Back
Top Bottom