Advocate Act, to be ammended to allow Advocates to appear before primary court. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Advocate Act, to be ammended to allow Advocates to appear before primary court.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Dadio, Mar 23, 2012.

 1. Dadio

  Dadio JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 360
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hiv majuz naona tangazo la hakim mkazi ambao watafanya kazi zao primary court, katika mahakam mbali mbali nchin. Mahakim hao watatakiwa kuwa na degree la sheria/LLB na wawe wamepta Law School of Tanzania. Good but this will sound more if state Attorney (not pp) and advocates thy ar given permission to appear b4 primary court, the restrains provision to be ammended soon. Mnasemaje wasomi?
   
 2. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ukitetewa na lawyer anaeandika kama huyu tayarisha mapema hongo ya kumpa hakimu.

  Tanzania hakuna wataalam.
   
 3. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hao hawaendi kuwa mahakimu katika mahakama za kata, bali watakuwa mahakimu katika mahakama za wilaya na mkoani.
   
 4. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  ndugu jaribu kusoma vizuri kuhusu nafasi za kazi zilizotolewa ni hakimu mkazi daraja ii na sio hakimu just hakimu
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye red usiwatishe wenzako, anatakiwa mtu aliyegraduate LLB ila aliyesoma law school will first be considered. nadhani umenielewa na umejua tofauti
   
Loading...