Advice pls( Nahisi nimepewa limbwata)

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,643
Sijui kama mtu akipewa limbwata anaweza kujielewa iv au la!

But kifupi nina mke na nampemda mke wangu na siko tayali kumpoteza

Tatizo kuna mdada(mchepuko wangu) nilimpangia sehem sasa last month tulikosana na mke wangu nikahamia kwa huyu mchepuko shida imekuwa siwez kurud home

Najitahid mpk nafanya maombi ili kama nimerogwa nitoke but still siwez

Huwa narud home nakaa mpk ikifika usiku najikuta roho inaniuma sana naanza kuwaza mchepuko ataniacha au ataingiza mwanaume mwingine so najikuta naondoka kwangu narud kule

Wife anaumia and i see her na inaniumiza sana

Nina take care of my family vzr kabisa na wife pia namsuprt bishara yake akiyumba na tunapokuwa kazin tuko oky as if amna tatizo

Wapendwa n wish kutoka hapa nirud kwangu to my family nifanyeje?(pls msinitukane nisaidie ushaur bora)
 
Shida ni kwamba umempangia
Na uwoga wako ataingiza mwingine ndicho kinachokurudisha hakuna limbwata wala ndumba ni mindset yako tu
 
We we ndio yule mubi 77 was kwenye Instagram showoff nyingi za magari na majumba?
 
Sasa unahudumia vipi familia uku mkeo hakupati, ngoja siku ukute mwenzio ashapata kishawishi cha kumtuliza, hofu iko kwa mchepuko badala iwe kwa mke, kwanza akuna mchepuko mwaminifu, jua mko wawili watatu apo mnapishana kiaina, akati uko bize na familia na yeye lazima awe bize na kijana aliye singo kujaribu bahati ya ndoa......maisha ni mzunguko
 
Aisee

Hapo hofu yako Ni kuachwa tu na huyo mchepuko....Ila wajidanganya mkeo hatakuacha kwakuwa ni mkeo.
Ipo siku utamlilia mkeo atakapoamua kukuacha.
Na siku mchepuko anamwambia nataka kuolewa sikuhitaji tena nenda kwa mkeo ndo atajua akunaga malimbwata ni ujinga wa mtu
 
Sasa unahudumia vipi familia uku mkeo hakupati, ngoja siku ukute mwenzio ashapata kishawishi cha kumtuliza, hofu iko kwa mchepuko badala iwe kwa mke, kwanza akuna mchepuko mwaminifu, jua mko wawili watatu apo mnapishana kiaina, akati uko bize na familia na yeye lazima awe bize na kijana aliye singo kujaribu bahati ya ndoa......maisha ni mzunguko
Ati akajaribu bahati ya nini..?
 
Wewe hujawekewa limbwata wewe. Umekamatwa na wivu! Ila kwanini hutaki kuwaza ukiondoka kwako usiku mkeo anaingiza mabwana? Hivi we unadhani yeye fala eeenh hata halalamiki? Anasubirigi utoke tu nae alete.

Sasa kazi kwako. Bora utomb......we mke halali au mchepuko?

Tia akili
 
Ati akajaribu bahati ya nini..?
NDOAAAAA akuna mwanamke anafurahia u side chick maisha yote kuna muda atatamani naye apewe hadhi ya mke, akiangalia uku sawa hawara anampenda lakini hayuko huru nayeye, anafichwa, lazima na yeye we na mseja ajaribu kama atawekwa ndani kama mwenzie anayepewa heshima, akifika kwake mawasliano yanakata adi jamaa akitoka kesho asubui kwa mkewe labda akiwa job
 
Wewe hujawekewa limbwata wewe. Umekamatwa na wivu! Ila kwanini hutaki kuwaza ukiondoka kwako usiku mkeo anaingiza mabwana? Hivi we unadhani yeye fala eeenh hata halalamiki? Anasubirigi utoke tu nae alete.

Sasa kazi kwako. Bora utomb......we mke halali au mchepuko?

Tia akili
Yaan sjui akili kaweka wapi uyu
 
Unajifanya umechanganyikiwa;
Sasa chagua kati ya mke na mchepuko.

Mambo kama haya ndiyo yanasababisha baadhi ya wanawake wajutie kuolewa kabisa!

Sikiliza;
Wala hujarogwa ila umewekeza Upendo mkubwa kwa mchepuko wako. Na hali hiyo inasababisha kuwa na WIVU ULIOPITILIZA kwa mchepuko. Unahisi kugongewa mchepuko ila hufikirii kugongewa mke!

Unaangamia kwa kukosa maarifa brother, kama huamini subiria siku mkeo agundue au kuhisi vibaya au uvumilivu ukimfika kikomo.
 
Tuwe serious kuna wanawake wanatumia madawa.Kuna mmoja alikuwa na mchepuko hivyo hivyo mke wake akawa anasali. Kumbe kule dawa zinaanza kuisha nguvu mara mme akawa anawahi kurudi home. Siku ya Siku akaja na gari imejaa vitu vya ndani. Kumbe alipoenda kule alimkuta na mwanaume mwengine alipompangia ndio ikawa mwisho hivyo. Sio ndoa zote zinaharibika sababu sjui mchepuko una nini wengine wanalishwa madawa na hawajijui hata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom