kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,222
- 1,670
Nina
kiasi cha shilingi 7mil na ninataka kununua usafiri wangu binafsi.
Naombeni wenye uzoefu na magari mnishauri ni aina gani ya gari naweza
kuipata kutoka show room kwa kiasi hicho cha fedha.
Binafsi nilikuwa napendelea toyota mark II ila sasa sijui bei yake
ikoje.
Then naomba kujua gharama za utunzaji gari zikoje kwa mfano inatakiwa
ifanyiwe service mara ngapi kwa mwezi.
Mshara wangu ni lak 3 kwa mwezi sina familia je nitaweza kuzimudu gharama za utunzaji gari?
...dada yangu "miss username" mshahara wa laki3 ! umeweza kudunduliza ukafikisha 7mil. !
- je hizo pesa hazifungamani na MKOPO kutoka taasisi za fedha / za mikopo?
-