Advanced Mathematics lost in translation!

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Hivi kweli tafsiri sahihi ya differentiate Y with respect to X ni tofautisha Y na X ,heshima zote kwa X? On a serious note ukizingatia central role of mathematics in science je lugha kiswahili kinaweza kubeba uzito halisi wa karne za uzoefu Sayansi ? Brainwash education to make us fools? CCM oyee!
 
Labda kama ungeamua kutumia lugha mmoja tungeelewa unataka kusema nini. Ukipendelea kutumia kiwango cha lugha unachoonyesha heri usijaribu kujadili wala Hisabati wala elimu nyingine.,
 
kutafsiri mathematics ktk lugha ya kiswahili with respect to uduni na uchache wa istilahi na msamiati wa lugha yetu hii(wanayo ita adhim) kutaifanya mathematics kuwa ngumu zaidi.
 
kutafsiri mathematics ktk lugha ya kiswahili with respect to uduni na uchache wa istilahi na msamiati wa lugha yetu hii(wanayo ita adhim) kutaifanya mathematics kuwa ngumu zaidi.
Heshima Mkuu.

Si "kutafsiri mathematics ktk lugha ya kiswahili" pekee. Ni kutafasiri chochote katika Lugha isiyo asili ya jambo lile.

Kuna baadhi ya semi, elimu nk ambayo asili yake ni Kiswahili. Ukijaribu kuzipeleka semi hizi pamoja na elimu hii niliyoizungumzia katika Lugha ya Kireno, Kiswedishi, Kifini nk inaweza isilete tafasiri ileile iliyokusudiwa katika Lugha ya Kiswahili.

Ndiyo maana katika Lugha tunasema "Lugha ya Dini haibadiliki", ukiibadilisha basi ile tafasiri ama ikabadilika au kuizidi ile tafsiri iliyokusudiwa (Note; Ndiyo maana wenzetu wa Imani ya Mashariki ya mbali wanatumia Kiarabu katika uenezi wa Imani yao).

Pia nami pasipo khiyana nikaongeza kuwa si katika Dini tu, bali pia katika karibu mambo yote. Iwe Mathematics, Astronomy, Engineering e.t.c e.t.c.

I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom