Advanced Diploma in Dermatovenereology (ADDV)

penadu

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
712
1,000
Mtanzania wa kwanza Kumaliza hii kozi ya Bachelor in clinical medicine and Surgery anaitwa SIMEO SYLVESTER ANGELO alimalizia Mount Kenya University

2.Dr.Walter -alimalizia Great Lakes University ,namba yake 0743887241 Huyu yuko Arusha

Ambao bado wanasoma wanaweza kusaidia ni

1.Ivine-0718818516-GREAT LAKES UNIVERSITY OF KISUMU
2.ABEL GEOFFREY-0768074172 (Uzima university)
Kwa kenya kozi inachukua muda gani, au semester ngapi? Inahitaji kufanya internship?
 

MRI

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
258
500
Kwa kenya kozi inachukua muda gani, au semester ngapi? Inahitaji kufanya internship?
4yrs(12 semester's) +1yr of Internship ,kama ni fresh from school

3yrs (9semesters )+1yr of Interniship kama uko na diploma in clinical medicine

Kumbuka :MD Tanzania ni 10 semesters
 

_pjc_

Member
Aug 25, 2019
79
125
IMG_1317.png

Haya nahisi hii kozi itakuwa mkombozi kwa clinical officers wengi
 

_pjc_

Member
Aug 25, 2019
79
125
Kwa mwenye kuweza kufatilia MCT muhitimu wa kozi atatambulika kama nani atusaidie
 

penadu

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
712
1,000
4yrs(12 semester's) +1yr of Internship ,kama ni fresh from school

3yrs (9semesters )+1yr of Interniship kama uko na diploma in clinical medicine

Kumbuka :MD Tanzania ni 10 semesters
Jamaa wana semester 3 kwa mwaka?
 

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,642
2,000
Upo sahihi ndugu...Clinical officer wa Tanzania haiwahusu hiyo
Big no!

Soma tena vigezo!

Vigezo vinasema admission is for AMO for Tanzanians na Clinical officers for foreners.

Wakiwa na maana nchi kama Kenya ukiwa na Advanced /Higher diploma in clinical medicine utaendelea kuitwa Clinical officer,kwa maana hiyo clinical officers wa nchi za nje ni wale waliosoma kwanza Advanced/Higher diploma .

Kwa taarifa tu clinical officers wa Tanzania wangekuwa wanaruhusiwa kwa namna wengi walivyo na hamu na shule lakini vigezo vinawapiga chenga hii kozi ingekuwa Ina jaa sana !
 

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,642
2,000
Ndugu punguza ubishi
Mkuu kama ukipata mda pitia kwenye website yao chukua namba zao uwapigie uwaulize kuhusu entry requirements tena hawahitaji hata maswala ya gpa

Kwenye website yao ni entry requirements hazijawa updated hilo unalolisema ilikuwa ni zamani kabla AMO haijafutwa lakini kwa sasa wanawatrain clinical officers kwa hii kozi
Screenshot_20210918-045805.jpg
 

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,323
2,000
KISII UNIVERSITY ,UKIACHA UNAFUU KIKO KARIBU NA TANZANIA IKITOKEA SHIDA YOYOTE NYUMBANI UNAENDA HARAKA,KUTOKA TARIME -MARA KUFIKA CHUONI NI MASAA MAWILI TU.

KUTOKA MWANZA MPAKA CHUONI (KISII NI MASAA SABA)
Kutokana na ubora wake admission Ina sumbua maana ni chuo Cha serikali.(Watanzania wapo )

2.GREAT LAKES UNIVERSITY KIKO JIJINI KISUMU ni rahisi sana kupata admission ukitama maombi siku hiyo hiyo wanakutumia admission letter (Hawana tatizo lolote kwenye admission)Ni chuo Cha private kwa mwaka wanasemester tatu (Trimesters) Kila semester unalipa Tsh 1.8M
1.8M per trimester, 5.4M kwa mwaka si bora usome MD Uganda, Malawi au India kama umekosa Tanzania
 

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
999
1,000
1.8M per trimester, 5.4M kwa mwaka si bora usome MD Uganda, Malawi au India kama umekosa Tanzania

Hivi mkuu nasikia vyuo vya uganda/kenya kusoma MD kutokea CO Unasoma haijalishi una gpa ya ngap...sasa vipi ukirudi nchini inakuaje wataikataa degree yako.?
 

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,323
2,000
Hivi mkuu nasikia vyuo vya uganda/kenya kusoma MD kutokea CO Unasoma haijalishi una gpa ya ngap...sasa vipi ukirudi nchini inakuaje wataikataa degree yako.?
Pita TCU kabla haujaenda kusoma ili wakupe no-objection certificate (sijui nime type vizuri?) ili degree yako itambuliwe, vinginevyo utapoteza muda+pesa zako bure


Kwa mfano ukiwa na gpa chini ya 3.0 huna sifa za kusoma degree kwa TZ, so hata ukisoma Harvard degree yako haitambuliki TZ.
 

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
999
1,000
Pita TCU kabla haujaenda kusoma ili wakupe no-objection certificate (sijui nime type vizuri?) ili degree yako itambuliwe, vinginevyo utapoteza muda+pesa zako bure


Kwa mfano ukiwa na gpa chini ya 3.0 huna sifa za kusoma degree kwa TZ, so hata ukisoma Harvard degree yako haitambuliki TZ.

Kwani inawezekana ukawa na below 3.0 na TCU wakakuruhusu kwenda kusoma nje.?
 

Dr Mambosasa Asante

JF-Expert Member
May 10, 2012
276
250
Nipepata uhakika sasa baada ya kuwaconsult wizara ya Afya Kuona wengi mnabishana kuhusu nani anaruhusiwa kwenda kozi hiyo majibu yamekuja kama ifuatavyo
Kozi hyo anaenda hata kama Ni clinical Officer aliye na ufaulu kuanzia gpa 3.0 na kuendelea na baada ya kumaliza atatambuliwa kama stashahda ya juu ya magonjwa ya ngozi na magonjwa ya zinaa na kutunukiwa sawa kama yule wa AMO
Asante naomba kuwasilisha kwa mwenye conceen anaweza kuuliza nimepata ushahidi tosha nawapa huo wanaotaka kwenda waende na nimepewa taatifa kuwa kwa mwaka wa masomo 2021/2022 Wamedahiliwa wanachuo 14. Kati yao 8 wakitoka nje ya nchi
Asante
na 6 wakitoka tanzania
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom