Advanced analytics and artificial intelligence

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
9,992
Kama kuna mtu anajua au yuko tayari kujifunza na kutumia big data management software kama apache hadoop, kutengeneza artificial intelligence apps kama machine learning models na deep learning models kwa kutumia tensorflow na ajue linux ani pm, awe amesoma computer science au IT sio lazima ajue Bali awe tayari kujifunza awe anakaa dar na itakua vizur kama akiwa ni unemployed karibuni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom