Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Hujawahi kuona mwandiko mbaya wewe, labda hukupenda mwandiko ila ulitaka typing.

Nunda ndio alikuwa na mwandiko mbaya kama uliwahi kuona notes zake za Bios.

Siongezi mwaka mwingine, ugumu wa Advance usikie tu masikioni
Kuna siku , nunda anafundisha topic flan hivi mi nlkua nshaisoma kitambo

Mi najipitia zangu , nkampa formuka rahis ya kuwaambia wanafunz wake washike kreb cycle

Ambayo ni Can I Keep Selling sugar

For money officer

Citrate

Isocitrate

Ketoglutarate

Succinate

Fumarate

Malate

Malizia mkuu

Jamaa alinisifia ahaha , hafu hako kaformula nlkatoa kwa mhun wangu gmbashi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi Mgote niliona ananifanyia maisha kuwa magumu afu kufuatilia nikagundua necta wanampenda Chad basi ndio kikaw kitabu changu nikiwa nasoma phy basi niulize either ni chand 1 ama chand 2, Namshukuru Mungu nikapata D mwaka jana hiyo kwa sasa maisha yanasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na mitazamo tofauti kuhusu walimu wa Phyz.

Wapo walimpenda Mgote(kama mimi), wapo walimpeda Moody Phyz, wengine Mtiga..

Nilimpenda Mgote kulingana na uchambuzi wake wa notes kutoka vitabu mbalimbali na past papers za NECTA.

Aliyekuwa anaweza kufundisha na ukaelewa vizuri alikuwa Moody
 
daaah yan umenkumbsha wakat nmevamia mtihan fulan enz hzo npo six mda huo nlikuw nmeshakamilisha topic zote na kujiona mjuaji sana.🙇🙇🙇🙇kuna tuit center fulan ipo mwanza inajulikana kma TUITION YA MICHAEL hapa nilikutana na ma T.O kibao kuna shule mbalimbali wanajua phyz haswa sitosahau cku hyo kuna swali la surface tension lilinitoa jasho na huku ndo topic niliokuwa naonea cku zote....!

nakmbuka ule mtihan nlfanya maswal matatu tu current electric,projectile motion pamoja na measurements
 
daaah yan umenkumbsha wakat nmevamia mtihan fulan enz hzo npo six mda huo nlikuw nmeshakamilisha topic zote na kujiona mjuaji sana.kuna tuit center fulan ipo mwanza inajulikana kma TUITION YA MICHAEL hapa nilikutana na ma T.O kibao kuna shule mbalimbali wanajua phyz haswa sitosahau cku hyo kuna swali la surface tension lilinitoa jasho na huku ndo topic niliokuwa naonea cku zote....!

nakmbuka ule mtihan nlfanya maswal matatu tu current electric,projectile motion pamoja na measurements
kwa Michael aka Mnyama na mimi nimewahi fikapo nikiwa naingia form 6, pale kuna vichwa mpaka sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku , nunda anafundisha topic flan hivi mi nlkua nshaisoma kitambo

Mi najipitia zangu , nkampa formuka rahis ya kuwaambia wanafunz wake washike kreb cycle

Ambayo ni Can I Keep Selling sugar

For money officer

Citrate

Isocitrate

Ketoglutarate

Succinate

Fumarate

Malate

Malizia mkuu

Jamaa alinisifia ahaha , hafu hako kaformula nlkatoa kwa mhun wangu gmbashi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo Kreb cycle haijawahi kukaa kichwani kwangu aiseee.

Niliwahi kupiga series moja ya Bios kwa Nunda ilikuwa paper One. Nilichezea chache hadi jamaa hauniwekea(hakujumlisha) marks baada ya kusahihisha. Nilipomuuliza mbona hujaniwekea marks. Alinijibu ''marks zenyewe chache hizi....." huku akichekelea kama kawaida yake.

Nilipokuja kuzihesabu nikakuta nimelamba alama 19

Nilipaniki sana hadi nikatamani kulia ila nilipiga moyo konde na sikurudi tena kupiga series zingine.

Niliporudi shule, nikaanza kusoma Bios kwa umakini wa hali ya juu.

Siku ya mwisho(NECTA) hatimaye nikaibuka na C yangu ya Bios
 
Hongera mkuu

Series za nunda , sikuwahi kufeli

Offcourse yule jamaa ni mshikaji wangu , kihome boy mbeya huko

All in all mkuu !! , acha nipambane na neuro

Nafikiria kuanza double course

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Kreb cycle haijawahi kukaa kichwani kwangu aiseee.

Niliwahi kupiga series moja ya Bios kwa Nunda ilikuwa paper One. Nilichezea chache hadi jamaa hauniwekea(hakujumlisha) marks baada ya kusahihisha. Nilipomuuliza mbona hujaniwekea marks. Alinijibu ''marks zenyewe chache hizi....." huku akichekelea kama kawaida yake.

Nilipokuja kuzihesabu nikakuta nimelamba alama 19

Nilipaniki sana hadi nikatamani kulia ila nilipiga moyo konde na sikurudi tena kupiga series zingine.

Niliporudi shule, nikaanza kusoma Bios kwa umakini wa hali ya juu.

Siku ya mwisho(NECTA) hatimaye nikaibuka na C yangu ya Bios
Nimependa brother me Niko six now naambuli thirty thirty za bio kwa wingi
 
Daahhh.... Kitu cha advance Physics sio mchezo asee..
Nakumbuka xul enzi izo tulikuwa Na ticha was Physics akija anakata mechanics sub topics kwa siku moja... Ukimuuliza sasa Ticha mbona hatuelewi anakwambia hapa unapta aidia tu mambo mengine utahua mwenyewe..daaaahhh mpaka unatamani kukimbia kombi.. Halafu kitu kingine kwenye a.physics unakuta swali umeresolve sana then siku unaingia kwenye mtihani unasahau kila kitu.....Yan Advance Physics siwez isahau ilivyokuwa inanifanya..
Acha kabisa Mkuu! Mimi ilinitoa kwenye A ya O level necta hadi C ya A level necta
 
Sasa NECTA uliondoka na ngapi mkuu?
Phyz ilikuwa ngumu sana lakini nilikomaa naye na ikanitoa kimasomaso NECTA.

Miongoni mwa somo lililokuwa linanipanikisha kwenye pepa ilikuwa ni Phyz.

Sikuwahi kumaliza pepa hata moja la physics, siku moja nilienda kupiga mtihani(series) kwa mtiga ilikuwa pepa one.

Mechanics ilikuwa imesimama aisee, kila swali nikigusa haliendi na lina concepts mpya. Muda wa masaa 3 nauona kama lisaa limoja.

Baada ya Mechanics kugoma nikahamia swali la Environmental Physics nikajipoza kidogo kabla navuta pumz nasikia muda umeisha, nikapanic sana. Nilirudi shule nimenuna sana.

Sikukata tamaa nikakaza buti zaidi, wiki inayofuata nikarna tena kupiga series nyingine ambayo ilikuwa pepa two.

Kufika kituoni nikakuta matokeo ya wiki iliyopita yamebandikwa, nikajikuta nipo top ten japo niliambulia 40%, kuona hivyo nikajisemea kumbe mambo yanawezekana hapa. Nikaingia kupiga pepa na kwenye pepa hiyo nikawa na above 50% nikaingia top ten pia.

Kuanzia muda huo nikawa sikosi series kila wiki huku nikikomaa kusahihisha makosa yaliyojitokeza kwenye series zilizopita, ikafika muda nikaimprove na pepa moja nikawa wa kwanza. Hadi hapo nikacha kwenda kupiga series tena.

Physics ni somo nililotumia muda mwingi na pesa nyingi kulisoma kuliko masomo mengine.
 
Nakumbuka nilikuwa naipenda sana physics kiasi kwamba mpaka nimefika form four nikaiacha rasmi lakini ikawa nikipata muda najisomea na kusolve baadhi ya maswali ubaoni na watu wakawa wanaijoy huku wakiniambia "huna lolote physics yenyewe umeikimbia" niliumia kuacha ila nikakaa sawa.

Ila form four nilipata four na ka C kangu ka Bios na kiswahili ila mpaka leo physics kwenye damu kwa sababu gani sjui.....
Mimi pia niliipenda sana japo ilikuwa ngumu.

Nimetumia gharama nyingi kulisoma hilo somo.

Nimetumia muda mwingi pia kulisoma.
 
Namkumbuka mwl wetu wa tuition ya Physics, mtu mzima, mkongwe Mwl Kazibure akitoka Kibaha Secondary kuja kutupiga darsa. Alikuwa njema sana huyu mtu. Ukishindwa kumuelewa Mwl Kazibure, hutakaa umwelewe mwl yeyote hapa duniani. Alale pema peponi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom