Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Daaa🤣🤣🤣🤣mkuu usitufanyie hivyo bhana,wengne tulipata bahati ya shule tulizosoma advance tukasoma upepo tukachange gia anganii hao tukakimbilia HGL bhana,tabu za nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunawasukuma nje kwa mema kabisa kwan ukitusikiliza unawez ukahisi tunadanganya saan

Kam ambavyo watu wa economics walivokua wanadiscuss mambo yao ,yaan nilikua naona chenga saan

Hahahahaha hatari sana ila me nawaheshimu sana watu mliosoma Physics advance maana nlikua nakaa nao dom moja daaaa walikua wanakomaa hatari wakati me history napiga msuli bed tu

Darasa langu la pcm lilikua opposite na la hkl sas kila wakitoka walikuwa wanarusema kishenzi na muda mwingine wanawah kutoka na hawasomi kivile,matokeo yakij one za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia niliipenda sana japo ilikuwa ngumu.

Nimetumia gharama nyingi kulisoma hilo somo.

Nimetumia muda mwingi pia kulisoma.
Linahitaji sacrifise , na ulipende

Nlkua najitahidi nikielewe kitu nisimeze

I used mostly four books

1.roger muncaster 4th edition
2.understanding physics
3.nelkon
4.na shangazi CHAND

SIKUWAHI SOMA MGOTE , NA VITABU VYA BAADHI YA WALIMU HAPA BONGO

BRO! , MGOTE SIKUWAHI GUSA

nlshangaa sana jamaa kujiita mgote physics yaan physics ya mgote

Hapana nilikataa !!

Vilikuwa vitabu vyangu hivyo. Nilikuwa namiliki vitatu isipokuwa Roger(nilikuwa naazima kwa mshikaji)

Mgote nimemsoma mwanzo mwisho na ameni inspire kusoma Phyz sana
 
mi Mgote niliona ananifanyia maisha kuwa magumu afu kufuatilia nikagundua necta wanampenda Chad basi ndio kikaw kitabu changu nikiwa nasoma phy basi niulize either ni chand 1 ama chand 2, Namshukuru Mungu nikapata D mwaka jana hiyo kwa sasa maisha yanasonga
Vilikuwa vitabu vyangu hivyo. Nilikuwa namiliki vitatu isipokuwa Roger(nilikuwa naazima kwa mshikaji)

Mgote nimemsoma mwanzo mwisho na ameni inspire kusoma Phyz sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah , mwanangu mi nlkua naogopa ule mwandiko !

Washukuriwe wote !!

Ila mkuu we huon umuhm wa kuongeza mwaka kwa advance ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kuona mwandiko mbaya wewe, labda hukupenda mwandiko ila ulitaka typing.

Nunda ndio alikuwa na mwandiko mbaya kama uliwahi kuona notes zake za Bios.

Siongezi mwaka mwingine, ugumu wa Advance usikie tu masikioni
 
Dah nunda , nunda

Nampata huyo jamaa

Hivi nini kilimpataga yule jamaa

Kihombo alikua ananipa story nying za nunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom