syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,794
- 1,910
Hawajali coz na wao wanasumbuka nazoHahahahahaaaaa.
Walimu wengi wa Advance huwa hawajali aisee, wanapiga mapindi uwe umeelewe haujaelewe yeye hajali
Ujinga wa physics unaweza ukafny bidii kusoma,basi unakua upo nondo saan kam wiki ivi.unasema yes ngoja nivute na somo lingine lisogee kidgo,ukija kurud kwenye physics unakuta upo mtupu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Tosamanganga member bila shakaHahaha Daaah physics ni balaa Kuna T.O mmoja hivi alimaliza 2006 alikuja Kutufundisha sisi tukiwa form 6 tukajiona Vilaza Wote.. vitabu vya Chand...Roger. vyote tuliona Tumemaliza na Hakuna Swali Gumu.. Jamaa Halafu alikuwa ana dharau balaa na Chuo alifukuzwa Kisa Dharau kwa Maprofesa kwahiyo akabak anapiga Tuition mtaani tu na Sifa Kibao na Kuwaona Watanzania wote hawana Akili ila Yeye peke yake
Ila Nakumbuka Siku ya Mtihani wa Physics Nilipiga msuli Usiku halafu kesho yake Pepa Asubuhi Na Nikasolve Maswali Kama matatu hivi ya Chand kwenye Pepa Yamekuja Vile vile Nikasema Nashukuru Mungu Ndalichako kaniona
Ila Yote tisa nitarudi Shule Zote ila Siyo Advance
Dah...mbona Hilo swali ni uji tu....shida iko wapi?halafu maswali ya physics huwaga yanaanza kama hadithi fulani hivi,yaani msenge mtungaji anakuvuta weeeeee anakuvuta weeeeee unakuujaaaa unakuja aaaaunaingia kwenye line zake then hapo hapo anakutupia jiwe paaaaaahhh la uso...yaani utakuta anaaza...
two stones thrown simutlaneously at a velocity of 20m/s at an angle of 60• to the horizontal,a man with a gun stand at 26m from the point of throwing,if the man has a mass of 80kg,calculate mass of the sun approximate to 6 decimal places..
ku**make hapa lazima ujambe,unaanza kujiuliza asa hapa ni topic gani,mtunzi kachanganga
projectile
calculating device
linear motion
planetary motion/gravity
error and dimension
unabaki tu kukumbuka maisha yako,marafiki zako,ndugu na jamaa,unakumbuka ulivokuwa unafaulu shule yako ya kata...unajikaza kiume mzee,unaandika data collection,unazugazuga pale na viformula basi unapoteza muda....unakusanya zako karatasi basi,unawaza hivi nimemkosea nini mungu mimi....kinyooonge unatoka class,sema ukikutana na wauni mnacheeeeeeeeekaaaaaaaaa basi unasahau na maisha ya shule yanaendelea.
nitarudi shule zote ila siyo advance ya tanzania *****....
kuna washikaji flani wawili ilikuwa kila pepa ya phyz msimamizi akishaanza kunadi muda tu wanajipiga mabao. Dah
Phyz ya hovyo sana, iliwahi nipigisha bao kwenye pepa
Braza inatokea vp?kuna washikaji flani wawili ilikuwa kila pepa ya phyz msimamizi akishaanza kunadi muda tu wanajipiga mabao. Dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni bao la kuloose control, inasemekana halina hata msisimko.Braza inatokea vp?
Yaan upo kwenye stress ngumu kam za chumba cha mtihan na bao juu ?dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhusu kutusaidia ,tutaleta mada yake ,apa tuzungumzie kwanza ilivotunyasanyasa uko advansiniSasa hiyo PCM AU PCB IMEKUSAIDIA KWENYE MAISHA?
Dah nataman lije linitoke na mimi nijue utam wake ,sema ndo nshamalizana na maisha ya kusomaHili ni bao la kuloose control, inasemekana halina hata msisimko.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna washikaji flani wawili ilikuwa kila pepa ya phyz msimamizi akishaanza kunadi muda tu wanajipiga mabao. Dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siwezi kujutia kusota na PCB aisee, sasa nishakuwa Health Care Professional life linazidi kuchanja mbuga tuSasa hiyo PCM AU PCB IMEKUSAIDIA KWENYE MAISHA?
Huwa tamu sana aisee, ukishamaliza kulipiga akili ndio inakaa sawa na madude yanaanza kutiririka kichwaniHili ni bao la kuloose control, inasemekana halina hata msisimko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tamu sana aisee, ukishamaliza kulipiga akili ndio inakaa sawa na madude yanaanza kutiririka kichwani
Chemistry aiseee. Chemistry ilikua na unafuu sana kwangu. Sijui kwanini Final sikupata A
Sent using Jamii Forums mobile app
nawe ulkuwa hupend phyz kwa kwel form 5 ilkuwa wakat wa kupga hzo circular motion na rotational motionNilikuwa nachukia Circula motion na mambo ya angular Momentum