Adv. Bendera apata ajari ya gari leo Korogwe

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Habari zilizo nifikia punde Advocate Bendera amepata ajari leo mchana maeneo ya korogwe.
 
Ndiyo nani huyu Bendera?

Ama ni yule aliyekuwa waziri wa michezo Joel Bendera nini ambaye ni RC mkoani Morogoro??
 
Amewasili hapa na ndege air port anapelekwa aghakan hospital....ameumia maeneo ya kichwa na mkono umevunjika...tumuombee advocate bendera
 
Kwa tunamtakia kila la kheri aweze kurejea katika hali yake ya kawaida ila ni nani huyu katika nchi hii
 
Ni mwanasheria aliye simamia ile kesi ya minofu ya magufuli....labda ndio utaelewa kwa urahisi pia ni mwenyekiti mpya aliyechaguliwa kwenye chama cha wanasheria wa tanganyika kama sikosei!
 
Who's the Guy? Mmempeleka Hospitali? Isije ikawa umekimbilia kuripoti hapa ukamuacha Mgonjwa bila msaada. Manake hata tukimpa pole bila matibabu haitasaidia.
Anywayz, Mpe Pole..
 
Back
Top Bottom