Adui wa Rais na Taifa letu yuko karibu naye sana

Soma tena nilichoandika, kisha soma ulichoandika halafu ujiulize ni nani aliyeandika tope na mwenye tope kichwani mpaka makalioni!?

Huna hoja kwa sababu huna uwezo wa kufikiri.
Wajinga kama hao usipoteze muda kubishana nao, vichwa vyao vimejaa kamasi...
 
Hapo no 10 sijakuelewa kabisa,yaani ni sawa umeamua kujiua kwa kujinyonga ukiwa juu mtini unaanza kuogopa nyoka.

Nia yako inakuwa haijaeleweka wazi,wakati jwtz na wengin wanafanya kazi zao huko polini na mijini,ndipo huyo rais anapata nafasi ya kufanya yote unayoona hayafai.

Umefikiri kiakili lakini umeishia njiani..... hapo kuna njia mbili. 1. kuogopa nyoka kama unavyoweka 2. kuonyesha njia mbadala. Mimi nawaonyesha njia na wahusika wanaelewa vizuri ninachokimaanisha. Mwangalie Rais akihutubia utapata mwanga.

Na pia dhana ya kujinyonga umeishia njiani.... kuna njia mbili 1. kujilipua 2. kuokoa mtoto kwenye nyumba inayowaka moto...Mimi napita kwenye moto na liwalo na liwe mikononi mwa Mungu kama ikibidi tufike huko.
 
Umeeleweka hongera mkuu.namba 9 iko vema kabisa kuna njemba wameshagundua udhaifu wake uko wapi na wanautumia vema kabisa.
 
Mbona mnapenda kusingizia watu adui itakua ni yeye mwenyewe maana ubabe anafanya yeye hafanyi mtu mwingine kukandamiza anakandamiza yeye sio mtu mwingine
 
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia Le Mkitambi Le Msemaji wa Bashite Le forever young !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
 
Back
Top Bottom