Adui wa mwanamke ni mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adui wa mwanamke ni mwanamke

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maundumula, Jan 9, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari,

  Nakumbuka sana wadada wengi niliosoma nao shule ya msingi na hawakufanikiwa kuchaguliwa na wengi wana watoto wameolewa wengine hawana mbele wala nyuma. Walikuwa na akili za wastani na watiifu kweli mbele ya walimu , walikuwa wasafi wanapendeza na waliwahi sana shule kuliko hata mimi.

  Tatizo ni kwamba walimu wa kike waliutumia utiifu wao vibaya wakawafanya hawa watoto wa watu masikini kama ma agent wao wa kuuza ubuyu, pipi, visheti, banzoka nk ndio walimu wa kike hao , je wakikutana na hawa watoto ambao "wamewalostisha' leo hii watawaambiaje?

  Walimu wa kike ni asilimia kubwa zaidi kuliko wanaume pengine hata 70% wao wangekuwa mstari wa mbele kumpa mwanamke maendeleo hakika wanawake wangefika mbali.
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Unatafuta ugomvi na walimu wa kike waliomo humu
  Ngoja waje
  Na hii hata kule MMU ingefaa zaidi sio huku jukwaa la elimu
   
 3. h

  hayaka JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  acha dharau hapo ulipofika umefikishwa na hao walimu wa kike!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hoja nyepesi sana hii
   
Loading...