Adui wa Adui Wangu Ni Rafiki Yangu

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,075
2,000
Rais Magufuli akicheza siasa kama alivyokuwa Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (Prof wa siasa) leo hii amedhihirisha wazi jinsi anavyoanza kuiteka kambi ya Edward Lowassa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Ikumbukwe wakati wa uchaguzi mkuu 2015 kulitokea mgawanyiko mkubwa wakati wa kutafuta mgombea wa urais kupitia chama cha CCM. Nafikiria ile kambi nyingine kwasasa wanatafakari itawezaje kupambana na nguvu mpya aliyoipata Mwenyekiti wa CCM.Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom