Adui namba moja wa North Korea ni China na sio Marekani.

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
478
405
Kipindi cha utawala wa kim Jong Il baba yake huyu kim Jong un na kaka yake mkubwa kim jong Nam na shemeji yake Jang Song Thaek,huyu bwana Kim Il alianza kuuwa wale watu waliokuwa katika utawala wake waliokuwa na mafungamano na serikali ya Beijing,hii ilianza pale tuu China ilipo adopt open window policy na globalization hivyo huyu mkomunist wa kipindi icho North Korea akaona kuwa China ni msaliti ni kibaraka wa marekani,hivyo haikutaka tena kuwa na wandani wenye ukaribu na Beijing,
Baada ya mzee kufa,Mwanaye Kim Jong Un aliyerithi madaraka aliguata nyayo za baba yake, kwanza akamyonga mjomba wake aliyekuwa mtu wa katibu sana na serikali ya China Bwana Jang Dong Thaek, mwaka 2011,. Pili kaka yake mkubwa wa kambo alikiwa anaishi uhamishoni China huko kisiwa cha Macao, huyu bwana kuwa China kiliendelea kumuudhi zaidi kim Jong Un na hatimaye mwaka huu walimvizia huko kuala lumpar na kuuwawa kwa sumu. Mchambuzi wa masuala ya siasa ya China bwana Zhao alisema hali hii itaikasirisha beijing sana,My dear brothers and sisters Korea kaskazimi imekua ikiwauwa all pro Chinese elements kwenye regime yao.
Endapo Korea itavamiwa CHINA ni muathirika mkubwa ndio maana anahaha vita isitokee.
1.North korea atakapovamiwa na akiona mchina hatoi msaada atafanya kitendo kama alichofanya sadam husein alipovamiwa na marekani miaka ya Tisini baada ya kuona mataifa jirani ya kiarabu haya msapoti alipiga scud missile zake huko Saudia Arabia taifa takatufu na huko palestina. Hivyo bwana Kim atapiga nukes zake China kwa Hasira,
Mwisho nasema hivii mkorea hana ICBM ya kufika marrkani,tupodong 2 na 3 zote zilifeli majaribio wandugu,
Mwisho kabisa kama mnakimbula last year 2016 North Korea alitest hydrogen Bomb but alitest karibu na mpaka wa china why not South Korea au Japan?.ask urself pigia mstari.nawasilisha japo wengi mtaniponga.
Mods dont merge my thread.yangu sio USA vs North Korea,ni North vs China.
 
I believe US has no quarrel with the great people of N Korea. For US quarrel is with the autocratic government of N Korea
 
kwanini umejistukia kwamba wengi watakupinga??
Kwa sababu najua wachache wanapenda kusikia habari wanazopenda,habari ngeni inakuwa ya kupondwa.Game of mind tell them what they want to hear, but am telling the fact bra
 
Kipindi cha utawala wa kim Jong Il baba yake huyu kim Jong un na kaka yake mkubwa kim jong Nam na shemeji yake Jang Song Thaek,huyu bwana Kim Il alianza kuuwa wale watu waliokuwa katika utawala wake waliokuwa na mafungamano na serikali ya Beijing,hii ilianza pale tuu China ilipo adopt open window policy na globalization hivyo huyu mkomunist wa kipindi icho North Korea akaona kuwa China ni msaliti ni kibaraka wa marekani,hivyo haikutaka tena kuwa na wandani wenye ukaribu na Beijing,
Baada ya mzee kufa,Mwanaye Kim Jong Un aliyerithi madaraka aliguata nyayo za baba yake, kwanza akamyonga mjomba wake aliyekuwa mtu wa katibu sana na serikali ya China Bwana Jang Dong Thaek, mwaka 2011,. Pili kaka yake mkubwa wa kambo alikiwa anaishi uhamishoni China huko kisiwa cha Macao, huyu bwana kuwa China kiliendelea kumuudhi zaidi kim Jong Un na hatimaye mwaka huu walimvizia huko kuala lumpar na kuuwawa kwa sumu. Mchambuzi wa masuala ya siasa ya China bwana Zhao alisema hali hii itaikasirisha beijing sana,My dear brothers and sisters Korea kaskazimi imekua ikiwauwa all pro Chinese elements kwenye regime yao.
Endapo Korea itavamiwa CHINA ni muathirika mkubwa ndio maana anahaha vita isitokee.
1.North korea atakapovamiwa na akiona mchina hatoi msaada atafanya kitendo kama alichofanya sadam husein alipovamiwa na marekani miaka ya Tisini baada ya kuona mataifa jirani ya kiarabu haya msapoti alipiga scud missile zake huko Saudia Arabia taifa takatufu na huko palestina. Hivyo bwana Kim atapiga nukes zake China kwa Hasira,
Mwisho nasema hivii mkorea hana ICBM ya kufika marrkani,tupodong 2 na 3 zote zilifeli majaribio wandugu,
Mwisho kabisa kama mnakimbula last year 2016 North Korea alitest hydrogen Bomb but alitest karibu na mpaka wa china why not South Korea au Japan?.ask urself pigia mstari.nawasilisha japo wengi mtaniponga.
Mods dont merge my thread.yangu sio USA vs North Korea,ni North vs China.
waTz cc kwa ubuyu bhana..
Lini ww umeenda n.korea tena jeshini ukaona hawana ivo vitu,km izo tstin unazoseam zmefail n tactic utajuaje..
 
Hahaha umeibukia huko kwenye umbea baada ya kuufyata mkia na Armanda wenu.
 
Mimi ni mtafiti huru simjui mtu yeyote humu,si unajua why jf walipelekwa mahakamani,ID zetu hazijulikani.na hatujulikani labda utake mwenyewe kujulikana.
 
Back
Top Bottom