ads killer fungua link za ads kama jamiiforums.com bila kuwait

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,711
39,791
hey wana jf

Najua kuna watu wanapata shida hasa wanaotumia simu kufungua hizi kampuni za shorten url baada ya kuwa forced ku open ads huku wanaekewa sekunde za kusubiri.

Na kama mnavojua browser za simu ie opera hazina javascript inayowezesha kuwait hizo sekunde but kwa njiaa hi ntakayowapa mtaweza

javascript:showSkip();

copy hio script then bookmark it isave kama chief-add-killer halafu ukiopen shorten url yoyote ikianza hesabu we open bookmark yako iclick then utaona neno skip add.

I hope itasaidia
 
Aisee siijui maana hata link sijaiona kwenye post yako

Shorten url ni namna ya kufupisha link ndefu ziwe fupi mfano una website hii

Www.kishtobe.com/kajambanani/mimimwizi.html

hii ni link ndefu so kwa kutumia kampuni kama jamiiforums.com unaweza ukaifupisha ikawa

jamiiforums.com/Gari hii ndo inaitwa shorten url

Hatuishii hapo baada ya ishu ya shorten url kuwa maarufu watu wakaanza kufanya business sasa makampun ya shorten url yakatoa ofa kua ukifupisha url kwao na wakavisit watu elf 1 watakupa dola 5.

So ili na wao shorten url wapate hela wakawa wanaeka ads kabla hujakua directed kwenye links unaangalia ads kwa sekunde 5 then ndo unapata button ya skip ad then uende kwenye link husika

Lakini si browser zote zinazokubali kuwait sekunde 5 mfano opera ya simu haikubali so kwa kutumia hako ka script hapo juu unaweza kuepuka hizo sekunde 5

i hope umeelewa
 
Back
Top Bottom