Adopted Western Cultures & Work Ethics: Viongozi wamezibwaga. Je, sisi tutazienzi?

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
  • Wazee na viongozi wetu wengi wameshindwa kuleta mabadiliko hapa Tanzania na Africa kiujumla hata baada ya kuishi na kusomea Ulaya. Je, vijana tunaorudi sasa hivi tutaweza?
  • Bila shaka elimu ni muhimu maishani, lakini elimu inavyoonekana kiujumla ni kama imeshindwa kuleta mabadiliko Africa. Je, hili tatizo linatokana na aina ya elimu watu wanayopata, tabia zetu wenyewe au kuelemewa na mazingira na demands za jamii?
  • Je, unafikiri vijana wengi wakirudi kwa mkupuo hapa Tanzania kutokea Ulaya tutaona mabadiliko? Je, mabadiliko haya yatadumu kwa muda gani?
  • Naamini kuna "western adopted cultures" kwa vijana zizizofaa Africa. But what are these and where do you draw a line?

--------- Chanzo cha maswali hapo juu kwa kifupi ni ifuatavyo: ---------

Bila shaka viongozi wetu wengi Tanzania na Africa kwa ujumla ni wasomi waliobobea. Na wengi wao walipata kusomea nchi za Ulaya magharibi, mashariki na wengine wengi Marekani.

Viongozi na raia wengi wanaporudi, wanarudi na mitizamo mipya kimaisha, na wengi wao wanarudi na elimu kubwa za madarasa.

Kitu kikubwa ambacho huonekana baada ya mtu kurudi kutoka Ulaya ni cultural interaction yake kwa wale anaowakuta hapa nyumbani. Traditionally, mtu anaporudi kutoka Ulaya anakuwa anaogopeka au kuheshimika kinamna yake. Academically, anakuwa anaogopeka sana tu kama si kuheshimika. Socially, kuna mchanganyiko wa mambo. Anaweza akaogopeka na kupendwa kutokana na tabia yake kiujumla, anaweza akaheshimika na kupendwa, anaweza akaogopeka na kudharaulika au anaweza kudharaulika jumla jumla.

Naomba tujadiliane katika hili. Ahsante.

SteveD.

Samahani ningependa kuandika kwa kirefu, ila muda na kipaji cha kuandika kirefu sina.

SteveD

Hili la culture za magharibi mimi naona wenda wengi wetu tunachagua ya kuandika na kuacha ambayo tutakayo.

Leo mwanadada akipita na kimini chake tunamshabulia kwa western kacha imemuharibu,akipita mwanakaka kaweka heleni yake pia twamshambulia western culture imemuharibu.

Lakini akipita baba kapiga suti ama tai ama suruali la kitambaa hatusemi kitu Hivi hizi suti ni culture yetu.

Mimi nafikiri culture yetu ilikua ni ile ya kuficha sehemu za mbele tu huku matako yakiwa wazi tena kwa majani,makuti,na ngozi.

Culture yetu ilikua sio kwenda shule ilikua kuwinda msituni ,kula matunda na mizizi ya miti.

Sasa mimi hua namshangaa anayesema kuvaa gauni ndefu ama siketi ndefu ni tamaduni yetu.
Kifupi tamaduni yetu ktk swala la mavazi ilikua mbovu sana tena sana .

Tatizo letu tunashindwa kufesi matatizo yetu na badala yake tunatafuta mchawi aliyetuloga ,kumbe mchawi ni sisi wenyewe.
 
Copied cultures do not have any problem for as long as one copies what is right and suitable to the society.Sheria na maadili zimetufanya watu wanao dress half naked wanachukuliwa kama immoral ila tusisahau kwamba Liberty is freedom to live as one wishes for as long huingilii maisha ya mwenzako.Tusiishi to please other people live your own life as you deem fit for as long as you will fit in your own society.
 
Hicho ndicho mkuu kinapaswa kuangaliwa.
Tatizo wengi tumekua tukisema culture ya west ndio inasababisha haya wakati mambo yote sisi hatuna culture hata moja.

Cha kujadili mie nadhani si culture ya west ila matumizi mabaya ya culture hiyo hapa ina maana mtumizi mabovu yanaenda mkabala na upumbafu wa mtumiaji .kingine ni ile kulazimisha matatizo yetu yanatokana na hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom