barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,322
- 29,583
Uzuri act bado sana kukubalika hivyo hata wakijipiga risasi mguuni hamna tabu...ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Chadema mpaka leo hawajarecover na mumpokea lowassa..