namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Wataalamu hivi kama wewe ni Admin wa group la whatsap je, unaweza kulisimamisha group kwa muda memba wote wasiweze kusoma au kutuma sms kwa muda?????
ingia kwenye group settings, kwenye option ya send messages weka ONLY ADMINS. hapo ni admins only wataweza kutuma mesejiWataalamu hivi kama wewe ni Admin wa group la whatsap je, unaweza kulisimamisha group kwa muda memba wote wasiweze kusoma au kutuma sms kwa muda?????
Asante nimeiona Mkuuingia kwenye group settings, kwenye option ya send messages weka ONLY ADMINS. hapo ni admins only wataweza kutuma meseji
View attachment 1204632
Kuna kazi maalumu inaendelea wasije chafua hali ya hewaKwa nini uwazuie kusoma msg members wote?
Labda uwazuie kutuma msg ila kusoma.
Ma admin kwani mnakuaga na shida gani.😂Asante nimeiona Mkuu