Admin wa group la whatsap naweza kulisimamisha group kwa muda Wananchama wote wasiweze kusoma au kutuma Meseji

namba force

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
758
434
Wataalamu hivi kama wewe ni Admin wa group la whatsap je, unaweza kulisimamisha group kwa muda memba wote wasiweze kusoma au kutuma sms kwa muda?????
 
Wataalamu hivi kama wewe ni Admin wa group la whatsap je, unaweza kulisimamisha group kwa muda memba wote wasiweze kusoma au kutuma sms kwa muda?????
ingia kwenye group settings, kwenye option ya send messages weka ONLY ADMINS. hapo ni admins only wataweza kutuma meseji
Screenshot_20190911-183242.jpeg
 
Back
Top Bottom